azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sara nyongole feat. masolo - simama lyrics

Loading...

bwana w+ngu atanifanya
mimi kuwa nguzo ya chuma
tena akasema atanizungushia

boma la shaba
bwana w+ngu atanifanya
mimi kuwa nguzo ya chuma
tena akasema atanizungushia
ukuta wa shaba

mimi ni dhahabu safi
kwenye moto nimepita
nimekuwa kiumbe kipya
ya kale yamepita
ninapaa kama tai
sitachoka mimi
nimepata nguvu mpya
nimesimama tena
mimi ni dhahabu safi
kwenye moto nimepita
nimekuwa kiumbe kipya
ya kale yamepita

simama, simama we
simama, simama we
simama, simama we
simama, simama we

wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni
hawatatikisika kamwe
wataenda kwa miguu lakini hawatachoka
bwana atawategemeza miguu yao
ij+po dhoruba yaj+po mawimbi watasimama
jua liwake mvua inyeshe hawatatereka
ij+po dhoruba yaj+po mawimbi hawatayumba
jua liwake mvua inyeshe hawatatereka

simama, simama we
simama, simama we
simama, simama we
simama, simama we

watu wote simameni
na mfanywe imara
(imara)
maana mungu mwenyewe
yeye ameshafanya
(fanya)
wakati umefika
sasa wa kuinuka
(inuka)
utukufu wa bwana
umewazukia
simama

simama, simama we
simama, simama we
simama, simama we
simama, simama we



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...