azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sara nyongole - asante lyrics

Loading...

nakushukuru mungu w+ngu
kwa mambo yote umetenda
nakushukuru mungu w+ngu

kwa yale yote umetenda

tangu sijazaliwa,
tangu sijajijua
wewe ulinitambua
na kuniwazia mema
tangu sijazaliwa,
tangu sijajijua
wewe ulinitambua
na kuniwazia mema

leo niko hapa si kwamba nimetenda mema
bali ni neema zako umenishushia
umenipa uhai umenitia nguvu tena
asante, asante

nimesafiri salama, nimerudi salama
ni wewe
kwenye maisha yangu nimekuona
wewe
ukinishika mkono na kuniongoza
wewe
hakika ni wema na fadhili zako, wewe

ni kwa neema yako tu
ni upendo wako tu
ni kwa neema yako tu
ni upendo wako tu

nakushukuru mungu w+ngu
kwa yale yote umetenda
nakushukuru mungu w+ngu
kwa mambo yote umetenda

huzuni yangu umeondoa bwana
aibu yangu umeifuta
adui zangu umepigana nao
magonjwa yangu umeyaponya

acha nikushukuru
acha nikushukuru
asante, asante
acha nikushukuru
acha nikushukuru
asante, asante

asante, asante yesu
wewe ni mwema
asante, asante yesu
wewe ni mwema
asante, asante yesu
wewe ni mwema
asante, asante yesu
wewe ni mwema



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...