sara nyongole - fungua lyrics
iliyopondeka
itetemekayo
iliyofunguka
watoto wako bwana
tuko mbele zako tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena
watoto wako bwana
tumekusanyika tunaomba
uponye mioyo yetu
utufanye upya tena
fungua
mioyo yetu bwana iponye
fungua
mioyo yetu bwana ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako
najua unapendezwa
na moyo ule uliopondeka
utetemekao pale usikiapo neno lako
fungua
mioyo yetu bwana ipone
yesu fungua
mioyo yetu bwana ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
fungua, ipone
fungua, fungua
mioyo yetu
bwana, ipone
mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka
mioyo
iliyopondeka
mioyo
itetemekayo
mioyo
iliyofunguka
iliyopondeka
itetemekayo
Random Lyrics
- moral crux - disconnected lyrics
- makai keyes - intro lyrics
- vlack000 - año 0 lyrics
- damulaboi - stain lyrics
- da_kidd - ap lyrics
- m.g.s azul - turn the lights off lyrics
- mxmtoon - asking for a friend lyrics
- the imperials - holding on (first love) lyrics
- armond morales - good shepherd lyrics
- samantha barrón - ella lyrics