sarabi band - sheria lyrics
[verse:1]
nalipa tax na hata siwezi afford kupanda taxi
kwa banki sina kakitu siwezi afford hata shati
maji naywa ya kanjo, yako ya chupa za mapambo
nalipia mtoto wako elimu ya bure ya juu
unanipa ya bure lakini ya uduu
so nitapata wapi majibu ya maswali, mahindi ilienda wapi
pia shilingi ya shule za msingi, paulo mtume mbona jela usimtume
lazima abuniwe tume
lazima abuniwe tume
mabenz ndizo hali, ma+passat tulificha kwa kabati
kazi kwa vijana, pesa kwa wazee
tulimangamanga hadi za ma+dead, i say
lazima abuniwe tume
lazima abuniwe tume
[chorus]
sheria oaa
sheria, sheria
fuata sheria
sheria wo wo
sheria ye ye
fuata sheria
sheria ee ee
sheria wo wo
fuata sheria
sheria
[verse: 2]
pia wewe mwananchi, tabia zako ziko chini
unapenda kulipa hongo na kutumia njia za uongo
una mipango na hata watoto wa kando, haujui hata majina yao
kura yako, uliuza, maini figo ukakulia hadi dini
kisha wasema tukudhamini
na wewe hapo, hauaminiki
na wewe hapo, haupangiki
[verse: 3]
wapi kidero when you need to slap somebody
complain ufisadi kwani ulidhani
tshirt, fifty bob, leso siku ya campaign
ilikuwa free?
ni 5 years loan investment
utalipa akiingia parliament
“we are one” ama ni “we are waana”
“utumishi kwa wote” utu missing
cctv we were watching
pay insecurity na job opportunity ni kama mti ya kiberiti
side moja heavy
usiniambie kenya kuna umaskini
kwani hizi fat fingers zinaibia nani?
ma scaandals zinadrive agenda ya survival
media defines leadership
na sura ukieka front page ina+improve readaship
ambia hawa wasee wa twitter wa+hashtag hii
ama harsh reality doesnt make a good tt?
commission of incquiry wanakula commission
bila kutupea ukweli
nikubaaya mbaka kukiwa kuzuri unashindwa “nini mbaya?”
machozi ya perpetrator inaeza dilute damu ya victims ilimwagika?
after all is said and done
all will be said and nothing will be done
you are not my tribe but you my blood type
lakini it doesnt have to take tragedy for you to know that
[chorus]
sheria oaa
sheria, sheria
fuata sheria
sheria wo wo
sheria ye ye
fuata sheria
sheria ee ee
sheria wo wo
fuata sheria
sheria
Random Lyrics
- as the world fade - canishoryuken lyrics
- uncle jonh iii - the myth lyrics
- 黒燿リラ (kokuyou lira) - 楽園 (rakuen) lyrics
- lil blackout - foreign whips lyrics
- favorite blue - believe in love lyrics
- enuff z'nuff - temporarily disconnected lyrics
- perfumer - logixa lyrics
- björk - family (vr music video) lyrics
- darkania - schönheit der lande lyrics
- caught in a flood - anything but palm mute! lyrics