azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sauceboiz - kuni x lyrics

Loading...

(chorus: linkyonwaves)
pesa mingi hustle hustle bila ku floss
wana dai chuki hating chini ya maji na ghost
drip too large over 10k kiatu that’s the cost
ana taka penzi me nadai k+mtoss
niko na mbogi sauceboiz, vijana ngori of course
me si yesu so huwezi kuni cross
me si yesu so huwezi kuni cross
bank account yako ina lia na ma loss

(verse 1: linkyonwaves)
ana taka pesa na ye ni hoe
aki gawa sana na pea bro
tuna unda beat buda play this song
anapenda penda d na hapendi chop
come tu kejani, tuna weza pop kwa mizani
radar ni gani, pesa mingi na si illuminati
king kong, ngoma nayo si ni sing along
ana penda vile iko long
cash money me hu make a lot
cash money ndio huleta thots
thots nao wana leta thoughts
najua hapo ume get lost
juu brain cells zako ziko gone
niko high baby cannot land oo
looking fresh fifty in the bando
(chorus: linkyonwaves)
pesa mingi hustle hustle bila ku floss
wana dai chuki hating chini ya maji na ghost
drip too large over 10k kiatu that’s the cost
ana taka penzi me nadai k+mtoss
niko na mbogi sauceboiz, vijana ngori of course
me si yesu so huwezi kuni cross
me si yesu so huwezi kuni cross
bank account yako ina lia na ma loss

(verse 2: papizzing)
running around nairobi we’re dem boyz with da sauce
and if you tryna cross us utajua ni makosa
we are making statements ungedhani ni kufloss
so wavy like a boat, so bossy niite boss
started from the bottom saa hii gang iko top
kama kawa f police sijaitambua cops
ukijichocha na macrocs nilirock in ma clarks
mistari nazo nare ady zina toa sparks



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...