sauti sol - mafunzo ya dunia lyrics
Loading...
mafunzo ya dunia
niishi ni ose
nisote nikope
nipate ya wote
utatembea pengi
na macho ni mingi
sikio ni mbili
tumia akili
uwe wa kwanza
usiwe wa pili
maisha si movie katika hizi enzi
oooh dunia mbona hukunipa penzi
maisha haya kwako hapa ni magumu
ninavumilia mwisho nitajivunia ya dunia mbona hukunipa penzi
mimi nina shangaa (aaaaah)
mimi nishangaa nilifanya nini
ili niishi ivi
maisha yangu yangu duni
naimba hii mziki nipate riziki
mwisho nitanawiri niendeshe mercedes
nitangaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
dunia mbona hukunipa penzi
maisha haya kw+ngu hapa ni magumu
ninavumilia mwisho nitajivunia
ya dunia mbona hukunipa penzi
mimi ninashangaa (aaaaaah)
mimi ninashangaa
Random Lyrics
- krystal evette - take it to the grave lyrics
- baby666savage - jdm666 lyrics
- gdaal - toro mikhaam lyrics
- fre$co van gogh - hectic lyrics
- onanī - in the moonlight lyrics
- fitcher - skipom lyrics
- the pirouettes - tu parles trop lyrics
- mykey - sweet tooth lyrics
- ericksii - balcony ( lyrics
- cashisclay - mittelfinger lyrics