
sauti sol - still the one lyrics
(bien):
another one for the ladies, sauti sol,
yeah, yeah baby, touch me baby,
1(bien):
tulipokuwa primo, ulisema umeninoki, nikakuseti kwa odijo,
tukaingia seco, adole zikanipanda nikaku kiss kwenye bus stop, yeah,
tukaingia campo, nikasema nakupenda, ukasema unasoma,
na bado na kuona daily, looking fly nakufeel even more,
i wonder what i’m gonna do if you ever walk out the door…
bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile, {x2}
ukiwa mbali nakonda sana, nikikuona nina pagawa,
bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile,
love is a strong thing, strong thing, strong thing,
my love is a strong thing, strong thing, strong thing,
2(delvin):
tukamaliza campo, nikaanza kuimba, ukapata ka jobo(downtown),
tukapatana tao, you were looking very s-xy, tukawasha ka vodo, ukawa tipsy kidogo,
(ukasema unanipenda na huwezi kuniacha, tangu zamani ulinipenda, ila hukuweza sema)x2,
(bien)
bado nakauona daily, looking fly nakufeel even more,
i wonder what i’m gonna do if you ever walk out the door,
3(chimano):
nikaimba lazizi(lazizi w-ngu we),
nikaimbia polisi,
na nikaimba soma soma soma, (oh yeah),
na nikasema popote ulipo, mi nakuwaza mama,
(i’ma i’ma i’ma gentleman)x2,
(bien)
na bado nakuona daily, looking fly na ku feel even more,
i wonder what i’m gonna do if you ever walk out the door,
(delvin):
na sasa uko fifty, bado unaka fiti,
yeah you can gerrit,
Random Lyrics
- mommy long legs - sad dudes lyrics
- various artists - atrapados en la red lyrics
- trinity (nl) - it’s all gonna change lyrics
- casey lee williams - from shadows lyrics
- set to stun - doomsday lyrics
- chris cohen - the lender lyrics
- brad paisley - without a fight lyrics
- mila y su violin - amor eterno lyrics
- junior e marconi - a carta lyrics
- apache (las minas) - pásame la yesca lyrics