
sauti sol - sura yako lyrics
nimekuchagua wewe, nikupende
mama, sitaki mwingine
aushi usiniache, usinitende
mama, usipende mwingine
moyo w-ngu ni mwepesi
umenikalia chapati
nafanya vituko kama chizi
kukupenda sitasizi
moyo w-ngu ni mwepesi
umenikalia chapati
nafanya vituko kama chizi,
kukupenda sitasizi
sura yako mzuri mama, aaah
mzuri mama …
na tabasamu lako maua, aaah
mzuri mama …
itabidi nikulinde, nikutunze
mama, usikose lolot
pete nayo nikuvishe, nikuoe
mama, usiende popote
juu moyo w-ngu ushakubali
umenikalia chapati
nitakulinda kama polisi, eh!
itabidi nik-marry
moyo w-ngu ushakubali
umenikalia chapati
nitakulinda kama polisi, eh!
itabidi nik-marry
na figure yako kama ya chupa, aaah
mzuri mama …
na sura yako mzuri mama, aaah
mzuri mama …
piga dansi kidogo,
piga da… piga dansi kidogo,
dansi kidogo,
piga da… piga dansi kidogo …
Random Lyrics
- suran - calling in love lyrics
- diego coronas - comigo lyrics
- isyana sarasvati - pesta lyrics
- mimicry - jamaica lyrics
- trapped in static - mirrors lyrics
- dygta - cinta rahasia (feat. gisel) lyrics
- the black eyed peas - london bridge lyrics
- verbal jint - if the world was perfect lyrics
- billy joel - we didn't start the fire lyrics
- calvin jeremy - tak berdua lyrics