azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sauti sol – tujiangalie lyrics

Loading...

[verse 1: sauti sol]
barua toka jaramogi na kenyatta
wanauliza kama kenya kuko sawa
nikawajibu kenya tuko na disaster
watoto wetu wan-z-di kuzikana
na tom mboya ameshika tama
alituacha kama angali kijana
je? angekuwa mambo
yangekua sawa?
ndivyo alivyopanga maulana
deni mlizowacha bado tunalipa “tunalipa”
na tumekopa zingine china
tukajenga reli pia barabara
zilizobaki watu wakasanya

[chorus]
so
tujiangalie “tujiangalie”
tuko pabaya leo kuliko jana
sikio la kufa halisikii dawa
tuko kwa twitter tuna jibizana
tujiangalie “tujiangalie”
tuko pabaya leo kuliko jana
tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
tusake zetu
tungali vijana

[verse 2: sauti sol]
waumini kwa mathree na p-ssie kwa bimmer
kushoto fungu la k-mi
sadaka kulia
ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa
anakula sacramenti
kabla ya raia
siku za mwisho zime shawadia
na revelation inatuambia
hii generation inachoma picha
ni generation yetu

[chorus]
tujiangalie “tujiangalie”
tuko pabaya leo kuliko jana
sikio la kufa halisikii dawa
tuko kwa twitter tuna jibizana
tujiangalie “tujiangalie”
tuko pabaya leo kuliko jana
tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
tusake zetu
tungali vijana

[verse 3: sauti sol]
michuki alisema tufungeni mikanda
ona leo twavuna tulicho panda
kura zetu zilitugawanya
makabila na pesa pia tulimanga
so when you make your bed oh
you lie on it ohh!
usingizi gani tumelala?
tuta jua hatu jui
vision 2030 itabaki ni story

[chorus]
tujiangalie “tujiangalie”
tuko pabaya leo kuliko jana
sikio la kufa halisikii dawa
tuko kwa twitter tuna jibizana
tujiangalie “tujiangalie”
tuko pabaya leo kuliko jana
tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
tusake zetu
tungali vijana

[verse 4: nyashinski]
mdosi aliniambia
freedom never comes for free
we vote tribe, ama real cash, ask boni
tuna roho mahali hamwezi
ita gsu plus doggy
world mzima twitter
kotndio first body
burn picha si ni waafrika
black coffee “annan”
i’m richer than my neighbor but we both in the slum
if the rich always win then
why should the popular run?
unless democracy ni word si usema
only for fun

[outro: nyashinski]
tujiangalie “tujiangalie”
uh, na hii weekend tuko church
tunauza sura kabisa
post ya haga
huenda poa sana na
caption ya scripture
kaa hiyo gospel
pitisha bag ya sadaka kwa club

tujiangalie “tujiangalie”
uh, traffic madrug ubuy ndai
traffic mandai zinadrag
ku admire mwizi amemake it
story za shamba wamegrab
mkono nahonga imevaa
bracelet ya colors za flag



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...