sauti sol - wera lyrics
nakuomba nerea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto
+n+leta hasani yake
leta nitamlea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto
+n+leta hasani yake.huenda akawa obama atawale amerika
huenda akawa lupita oscar nazo akashinda
huenda akawa wanyama acheze soka uingereza
huenda akawa kenyatta mwanzilishi wa taifa
aaah
nakuomba nerea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto
+n+leta hasani yake
leta nitamlea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto
+n+leta hasani yake
nitamlea oh ohhuenda akawa maathai ailinde mazingira
huenda akawa makeba nyimbo nzuri akatunga
huenda akawa nyerеre aongoze tanzania
huenda akawa mandеla mkombozi wa afrika
aaah
nakuomba nerea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto
+n+leta hasani yake
leta nitamlea
usitoe mimba yangu eeh
mungu akileta mtoto
+n+leta hasani yake.nakuomba
nerea nerea
nerea nerea
nerea nerea
usitoe mimba yangu
nerea
nerea
nerea
usitoe mimba yanguhuenda akawa kagame atawale
jaramogi odinga tuungane
huenda akawa tom mboya
huenda akawa rudisha
huenda akawa malaika
mungu ametupatia
huenda akawa sauti sol
huenda akawa amos and josh
huenda akawa
yeah yeah yeah
huenda akawa malaika
mungu ametupatia…
Random Lyrics
- gottkomplex - gott der neuzeit lyrics
- sunshine blvd. - welcome to the show lyrics
- juaninacka - milagro lyrics
- gouap - barbapapa lyrics
- lauren auder - heathen lyrics
- zainhy - dirty lyrics
- darthxsinu - wishing i can go back lyrics
- никогдавновь(neveragain) - shinobi lyrics
- davide goldeiv - bang bang lyrics
- shayfer james - the long con lyrics