azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sauti tamu melodies - watumishi wake baba lyrics

Loading...

watumishi wake baba w+ngapi waliopo
wanakula na kusaza chakula chake baba

nami + nami nataabika hapa
nashi + nashiriki na nguruwe
chaku + chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita + nitarudi na kusema
baba + baba yangu nisamehe
nime + nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba kamwona yu mbali kashikwa na huruma
akakimbia k+mlaki kamk+mbata na busu

nami + nami nataabika hapa
nashi + nashiriki na nguruwe
chaku + chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita + nitarudi na kusema
baba + baba yangu nisamehe
nime + nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

baba sistahili tena kuitwa mwana wako
unifanye kama mmoja wa watumishi wako

nami + nami nataabika hapa
nashi + nashiriki na nguruwe
chaku + chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita + nitarudi na kusema
baba + baba yangu nisamehe
nime + nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba
baba yangu nimekosa ninaomba huruma
unisamehe nirudi nikakutumikie

nami + nami nataabika hapa
nashi + nashiriki na nguruwe
chaku + chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita + nitarudi na kusema
baba + baba yangu nisamehe
nime + nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

wanikaribisha mimi kwenye karamu yako
meza imeandaliwa inaningoja mimi

nami + nami nataabika hapa
nashi + nashiriki na nguruwe
chaku + chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita + nitarudi na kusema
baba + baba yangu nisamehe
nime + nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

nasogea ninakuja ninakukimbilia
mimi ni mtoto mpotevu baba unipokee

nami + nami nataabika hapa
nashi + nashiriki na nguruwe
chaku + chakula kisichofaa, yanipasa kurudi
nita + nitarudi na kusema
baba + baba yangu nisamehe
nime + nimekosa kwake mungu, na mbele yako baba

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...