saville boy - ivo lyrics
intro
saville montana
lalalala laalaah
oh yo yo yo yo yooh
verse 1
kwenye. mziki
nimeshapambana sana
bado sina hata mashabiki
“aisee” kuna watu wanabanaa
wanasema niache mziki
hauna riziki
nibaki fundi nirande
ila moyo haujakubale
nasonga mbele tu
sina kiki mavazi kw+ngu ni balaa
mabinti siwezi nisha marry naa
show nazo sipewi kutwa ni balaaa aah!
bridge
ivo ivo ivo bado iko hivo
mimi ndo mm na bado niko ivo
ivo ivo ivo bado iko ivoo ohh!
ivo ivo ivo bado iko hivo
mimi ndo mm na bado niko ivo
ivo ivo ivo bado iko ivoo ohh!
chorus
napambana kwenye mziki weee!
j+po sio rahisi
kwenye mziki wee!
mambo sio rahisi
napambana kwenye mziki weee!
j+po sio rahisi
kwenye mziki wee!
mambo sio rahisi
intro….
wawawaah! yeah yeah yeahh
yeyeyeeah!
verse 2
sitachoka nakuomba kila sunday
naamini nitatoboa ipo one+day
ila mikosi in+z+di kila upande
niko chini saana
ahh napambana ila mwendo nitafika
nakzana sana niimbe kwa kuvimba
imani naieke mbele nizidishe kushinda
maaana
ahh jua kali ni range
nisake na niko tandale
vipeni kipata ni budget
niwezeshe mziki usikwamе
apa niko ivo
ivo ivo ndivyo ivo
mziki hoi hoi
naivo ndivyo ivo
hata ukiumana sitabaki ivo
nikukaza kaza kamba mziki uko ivyo
bridge
ivo ivo ivo bado iko hivo
mimi ndo mm na bado niko ivo
ivo ivo ivo bado iko ivoo ohh!
ivo ivo ivo bado iko hivo
mimi ndo mm na bado niko ivo
ivo ivo ivo bado iko ivoo ohh!
chorus
napambana kwenye mziki weee!
j+po sio rahisi
kwenyе mziki wee!
mambo sio rahisi
napambana kwenye mziki weee!
j+po sio rahisi
kwenye mziki wee!
mambo sio rahisi
Random Lyrics
- sifu versus - seishin teki kyôyô lyrics
- alex22 - black blood lyrics
- hariki - зотакс (zotax) lyrics
- מירי מסיקה - le'ehov mechadash - לאהוב מחדש - miri mesika lyrics
- raph is rough - gone, interlude lyrics
- william prince - easier and harder lyrics
- botwithahalo - how high (drake x kanye west ai song) lyrics
- haaland anthems - the haaland song lyrics
- madison watkins - find you lyrics
- kelly nelon thompson - do what lyrics