scott montana - dreamer lyrics
✓verse
ahh nakonda peupe
kama nimecheza lafu niguse
nakama nimelala niamushe
nitimize ndoto zangu niinue
chozi lanidondoka kukicha
ni wapi naanzia kimziki
j+po moyo wa sitaa aah
wala nyimbo hazi tiki
mashabiki nipendeni mi nilivyo
kisha niombeni mafanikio
nyimbo zisikizwe kwa maredio
na salamu zifikie chilambo
bridge
na nipendwe na wewe
mgongoni ni bembee
nisikizwe na wewe
na nyimbo wazicheze
chorus
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
kimziki nitembeee
ohh
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
kimziki nitembeee
verse 2
nyanjani tukutane na shoti baba
collabo zifike nairobi to dar
resalam nijue rose muhundo
bukuku tuimbe na kulvert
ama niimbe na simba
wasafi niite alikiba
collabo tufanye na chinga
ni washangaze kina master na lita
aahh salam eskai
kipara ndesi
don mendesi
acheze dance
na collabo ingine mina jeshi
mr flavor devido mni friendy
bridge
na nipendwe na wewe
mgongoni ni bembee
nisikizwe na wewe
na nyimbo wazicheze
chorus
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
kimziki nitembeee
ohh
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
nitatoka lini yeahh
kimziki nitembeee
autro
(na nipendwe na wewe
mgongoni ni bembee
nisikizwe na wewe
na nyimbo wazicheze)
Random Lyrics
- jaywin - fool lyrics
- aidad cochliner - tornado ii lyrics
- mila ziska - april fools' day lyrics
- the hextalls - i'm a hulkamaniac! lyrics
- peso pluma - y qué? lyrics
- guise - faith lyrics
- tasos bougas - chtypise kokkino o erotas lyrics
- turk (eg) - ibn shekh | ابن شيخ lyrics
- frazer (frazerxvii) - sticks & stones lyrics
- ariiisco - smart lyrics