sean mmg - mi amor lyrics
[intro]
ooooh ooooh
[pre chorus]
it is a pretty girl ting her name be jamila
kama burna boy mehn she give me the vanilla
amenikazianga sana lakini nataka more
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[chorus]
ooh! ndio aniite mi amor
ooh! ndio aniite mi amor
ndio aniite mi amor
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[pre chorus]
it is a pretty girl ting her name be jamila
kama burna boy mehn she give me the vanilla
amenikazianga sana lakini nataka more
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[chorus]
ooh! ndio aniite mi amor
ooh! ndio aniite mi amor
ndio aniite mi amor
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[verse 1]
mi nashanga nashindwa joh ninini
nashindwa yani mimi umefanya nikuwe chizi
nashindwa yani mimi uneninyima hadi usingizi
yani ni mimi bana ndio na catch ma feelings
nashindwa kwani rada sijui ka nina fall
mood swings kibao nikadem ako na ball
namfanya vitu crazy hadi usiku ananistalk
najua ananipenda lakini she can’t talk
[verse 1]
najuu mimi ni star kwake it is a no
najua ananishuku lakini sitamfall
hashindangi kwa club ako kwake ananimiss
mi humuitanga my darling my baby my mrs
cause she got me in a chokehold as i make her go loco
manzi lightskin but nimtamu kama choco
petite tena si momo she got me like the popo
nimeteseka sana joh nika natoka soko
cause she got me in a chokehold as i make her go loco
manzi lightskin but nimtamu kama choco
petite tena si momo she got me like the popo
nimeteseka sana joh nika natoka soko
cheki
[pre chorus]
it is a pretty girl ting her name be jamila
kama burna boy mehn she give me the vanilla
amenikazianga sana lakini nataka more
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[chorus]
ooh! ndio aniite mi amor
ooh! ndio aniite mi amor
ndio aniite mi amor
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[pre chorus]
it is a pretty girl ting her name be jamila
kama burna boy mehn she give me the vanilla
amenikazianga sana lakini nataka more
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[chorus]
ooh! ndio aniite mi amor
ooh! ndio aniite mi amor
ndio aniite mi amor
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[verse 2]
buda niko off nitext hii weeky
navenye niko hivi sijachoka gode weeky
grace ako job weekendi ni miti
na mi sio drake cause i’m not in my feelings
cause its time to tell your ex its time for eviction
mi ni hard player si unajua the mission
just call me scorpio she be getting submission
me ndio g kwa game what the f++k is competition
[verse 2]
juu manzi anatext delete hio line
f++k all my exes me im in my prime
k+mbe high school mao siku pata time
lakini sahi ni cash flows na perfect wine
juu niko off niko off niko off
buda nipe green nadai grass kama goat
buda k+me chrome nacheki bunda bila thong
juu tasha ana ass na anadai things long
[pre chorus]
it is a pretty girl ting her name be jamila
kama burna boy mehn she give me the vanilla
amenikazianga sana lakini nataka more
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[chorus]
ooh! ndio aniite mi amor
ooh! ndio aniite mi amor
ndio aniite mi amor
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[pre chorus]
it is a pretty girl ting her name be jamila
kama burna boy mehn she give me the vanilla
amenikazianga sana lakini nataka more
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
[outro]
ooh! ndio aniite mi amor
ooh! ndio aniite mi amor
ndio aniite mi amor
sijui nimsurprise ndio aniite mi amor
Random Lyrics
- delaney gibson - swoon lyrics
- natanya - angel lyrics
- dave gahan - kingdom [rosario + jody's club mix] lyrics
- keith gattis - down again lyrics
- guessmi - blablabla lyrics
- kim feel (김필) - love you! (solo version) lyrics
- lugatti & ffjodor - natureboys lyrics
- elyaplugg! - детка (snippet 07/05/2023)* lyrics
- logic - stuck in traffic lyrics
- 26.miles - supernova(feat. babylowski & sean8laxk) lyrics