
sele minamba - ameolewa lyrics
Loading...
hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh
binti wa makamo come closer na give me some more
kama tunda lilimshinda adamu akashindwa kuvumilia
sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia
ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
hivi ni kweli ama tunaigiza
moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
mi ndo fundi wa raha zake natw+nga nakukoboa
alinik+mbatia mkono wa kushoto kwenye gia
zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
amelowa, amelowa amelowa na mvua
amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Random Lyrics
- el coyote y su banda tierra santa - ni por mil puñados de oro lyrics
- speed mcqueen & yung oogway - groove! lyrics
- armand maulana - senarai cinta lyrics
- mola (fra) - h.d.s lyrics
- ann gray - new year's resolutions lyrics
- ifan seventeen - hal terindah (from "kemarin") lyrics
- callme46 - young boy lyrics
- myko myers & the bodysnatchas - hardcore 4 eva lyrics
- abstract mindstate & young rj - the get down feat. slum village lyrics
- t.i.s & kaer mks - la réalité platonique (me and yu) lyrics