sewersydaa mkadinali - aroma (sewersydaa) lyrics
[intro: sewersydaa]
brrt
eeh joh
the art of war
[chorus: sewersydaa]
never go to war in an empty stomach (never never)
uki+abusiwa rome juwa rome ni ya romance
kienyeji ako top ana miss tu romance
naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
ndom yako hainanga aroma
hio ndom haina aroma
straight up na sipigi corner
nataka ndom ina aroma
ndom yako hainanga aroma
hio ndom haina aroma
straight up na sipigi corner
nataka ndom ina aroma
[verse 1: sewersydaa]
kuna baridi tuna freeze
ukame still, ma ng’ombe zinatoa ribs
mapedi wako biz wanakinda ma riz
wengine wana tuingiza na spliff
ilibidi niingie sili nikinde sling, ati juku ya stick
madiwa wame+stop mawada huko chini, nichi, chini kwa tips
scene, tukipiga tunahama
na tuna achanga hio dipo lawama (lawama)
hatuna kakitu, laana tunarushianga fam’ ya kamwana
nukisha kisanda landlord anamblein harufu ya marijuana
hosanna, adi akatuma wife yake aka tu preachia hosanna
chain huwa haipitishwi na nyuma
ngwai inapasiw+ngwa pande left
na ka uliskia ni rumours, ati uliona, uk+n+sa na huna evidence
zangu ni quiver, quiver, reggae ikishika tunauguzanga picha
labda tukuwache negative, ambia dj si ndio tulibeba ma mixer
[chorus: sewersydaa]
never go to war in an empty stomach
uki+abusiwa rome juwa rome ni ya romance
kienyeji ako top ana miss tu romance
naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
ndom yako hainanga aroma
hio ndom haina aroma
straight up na sipigi corner
nataka ndom ina aroma
ndom yako hainanga aroma
hio ndom haina aroma
straight up na sipigi corner
nataka ndom ina aroma
[verse 2: sewersydaa]
sidai makasiriko kaskie vibaya na huko
saa hii tukona ruto
acha tuone kama atajaza ama atachimba hio loophole
by the way nani alioa uko?
saa hii ningekuwa nimeivisha hio ngoso
tv yangu haijawai onwa mboso
laptop passcode joh hukuw+nga local
niko tempted kuoa goshodo
ass na top yake, what a combo
mziza na uko kwa vyombo?
enyewe vita zingine ni za roho
anapenda kunirombosea, nika anataka mi nipigane na riong’o
system ina force njaa
iliforce jam, ndio nikachukua psalms
traffic cop hak+mind though
hii record mtaichezea kwa vinyl
kuna chizi alish+tia urinal
wanapenda nikiwatusi in high note (umbwa!)
kesi ya weed pelekeni high court, kama mnaona ina wa appeal
si ndio ma white rhino, na sioni anytime kama tuta+go extinct
[chorus: sewersydaa]
never go to war in an empty stomach
uki+abusiwa rome juwa rome ni ya romance
kienyeji ako top ana miss tu romance
naeza icop lakini, hio ndom haina aroma
ndom yako hainanga aroma
hio ndom haina aroma
straight up na sipigi corner
nataka ndom ina aroma
ndom yako hainanga aroma
hio ndom haina aroma
straight up na sipigi corner
nataka ndom ina aroma
Random Lyrics
- ross copperman & kate york - you lyrics
- krewella - drive away (bogar uriel remix) lyrics
- nateboarding - in a big tree... deepsdog lyrics
- greg camp - this is good, right? lyrics
- felly - nothing ordinary lyrics
- tiggs da author - champagne riddim lyrics
- point of contact - sixfifteen lyrics
- gayle - kiddie pool (strings) lyrics
- william prince - bodyguard & the beer girl lyrics
- taran singh sethi - aaj kal lyrics