shama - nyumbani lyrics
Loading...
i want to go where the sun is shining
where the people are nice and the food is sweet
mahali nipo ni baridi sana
nataka kurudi nyumbani
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
wajua vijana lazima tutatembea
nakuona dunia eh
lakini mwisho tukishachoka
tutarudi mwanzo eh
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nyumbani, nyumbani
narudi
nyumbani mama
nitarudi
nairobi kenya eh
nitarudi
mombasa diani
nitarudi
na kule kinshasa
nitarudi
nitarudi nyumbani
Random Lyrics
- miles away - bring me back (hughesy remix) lyrics
- subtil - nosso lema lyrics
- chill chicos & diego 900 - intro lyrics
- mitch benn - that’s brexit lyrics
- jerry vale - leaving on a jet plane lyrics
- haysen cheng - not long lyrics
- nothing,nowhere. - nevermore (remix) lyrics
- mw - if i lyrics
- grown bones - phantom lyrics
- amr diab - masreyah lyrics