shark d - wajumbe lyrics
intro, yoen beats yoooo, i see youu broooo
geita city id “home town” shark d
verse 1;
wapinzani tumbo joto wanawaza washa moto
wapinzani tumbo joto wanawaza vuka msoto
siasa changamoto lopoka upigwe moto
siasa changamoto jiepushe mrisho mpoto
waambieni mabishoo mi ndio gangster kwenye show
uswahilini kupo super ndani ya fridge kuna ndoo
shoro siyo mwambwa mi na swim ndani ya mamba
shoro siyo mwamba ana bet na mademu
kwenye mziki mambishoo kushindana ndio show
kwenye movie mabishoo kurogana ndiyo show
simba ana tattoo “mond” tembo hana miguu “nize”
tanapa acheni ushamba punguzeni u sister duu!
usiwe mjinga kama mbasha kuropoka ni ushamba
utakula ngumi mateke mixer na mikanda
staging hakuna wenge kamuulize p wa mwenge
adam hanaga wenge ana boot la madenge
dar vipi mkali wenu yuko wapi
dar vipi wajumbe hamna haki
dar vipi aliwaongoza na miswaki
au dar vipi kwani naye ni wamasaki
heheeeee
the call me tlg sog young rapper shark d gtz
a.k.a…..the virus which can be never treated on the beat
all the way from geita city……..
geita city is my hood, geita city home town
geita citu is my hood, geita city id
Random Lyrics
- vicö [arg] - noches felices mañanas tristes lyrics
- christian lalama - christian lalama- gotta be you (avery faith cover) lyrics
- jn - heart break thug lyrics
- mcgwire - soul on fire lyrics
- eraze - wired lyrics
- timmy the kid - rubin lyrics
- amélie martinez - and you cut lyrics
- scally milano - 100процентов (percent) lyrics
- lil' lee - making it out lyrics
- shamshi kaldayakov - dúngen qyzy (a dungan girl) lyrics