azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

shawn houdini - no stress lyrics

Loading...

“odzz you’re a bad boy”
“yeah, shawn houdini”

[chorus]
no stress, sipendi urazi natalk less
kama ni ganji nitacontest
nashukuru mola joh god bless
bado sijamake it so no flex
wait till the day nitacop benz
got tired ain’t takin no loses
so sahii niko table na bosses
life inakuanga na choices
ni ngumu kuhepa the vices
na kuomoka inataka resources
kila yout anaombea success
but streets inataka wanjanjez
inabidi uinvite some curses
penye wengine wanagenya in the process
hii ni life inataka the heartless

[verse 1]
athiriver ndo ilikuwa ni birthplace
siezi sema nilitokea projects
but masa alikuwa so tensed
from the day nilirudi na scarface
tho i had to go through that phase
nikalearn kuwork on my sp+ce
turned the studio into my workplace
now am glad that mama is so amazed
wako step one nikimake four steps
ukiulizia king jua mimi ndo next
wanatry kurap but they make no sense
since nirise walibaki hopeless
bado nashine still got no chains
nyi mkiflex na fake rolex
mnaforce drip ndo mumake more fans
na mkidrop hit you make no sales
[chorus]
no stress, sipendi urazi natalk less
kama ni ganji nitacontest
nashukuru mola joh god bless
bado sijamake it so no flex
wait till the day nitacop benz
got tired ain’t takin no loses
so sahii niko table na bosses
life inakuanga na choices
ni ngumu kuhepa the vices
na kuomoka inataka resources
kila yout anaombea success
but streets inataka wanjanjez
inabidi uinvite some curses
penye wengine wanagenya in the process
hii ni life inataka the heartless

[verse 2]
on my first album already natisha
hakuna free feature we jua nalipisha
kama una deni joh buda speedisha
usifanye nipull up na mbogi chachisha
ukigamble na life inaweza katishwa
ukitaka kudie tunaeza fastisha
dem ana haga ndo hunichizisha
na ka ana flat tummy bas pete ntavisha
ogopa nairo, the city of s+x
ka una doh they’ll open they legs
na ka hauna doh huwezi have friends
ukishika chrome then we ndo the best
ka unadai zoza i dont work with no threats
you know my location come say it to my face
gram mnajichocha na k+mbe mmetense
na nyi ndo same n+ggas hurun kwa mafeds
[chorus]
no stress, sipendi urazi natalk less
kama ni ganji nitacontest
nashukuru mola joh god bless
bado sijamake it so no flex
wait till the day nitacop benz
got tired ain’t takin no loses
so sahii niko table na bosses
life inakuanga na choices
ni ngumu kuhepa the vices
na kuomoka inataka resources
kila yout anaombea success
but streets inataka wanjanjez
inabidi uinvite some curses
penye wengine wanagenya in the process
hii ni life inataka the heartless

“ukintoka joh mi nitalipiza”
“utashtuka umelala kwa freezer”
“mawaidha ndo mi hupuliza”
“ka si ganji siwezi kuskiza”



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...