shetta feat. dully sykes & tunda man - mdananda lyrics
dhahabu records (yeah iih yeah hii)
records (ha aah haa aah)
hiye eeh eeh eeh
nimeamini apangalo mola
huwezi pangua yeye ndiye anaejua
yaani ningejua jinsi alivyokuwa
nisinge jisumbua k+mchukua
ubaya sitaki (twende)
dhihaki (kweli)
si rafiki (ubaya sitaki)
nasema sitaki (sitaki), kubaki
mnafiki, rafiki gani mdananda
anapenda ku+bang
hanakazi huyu jamaa
na mastaa kadhaa
wenye jina ndani ya dar
si nikajaa mi mzawa wa dar
nikaachwa kwenye mataa
nashaanga na maseke nimezidiwa mang′aa
mashaka yalikuwa kando (ahaa)
nilihisi mchizi bonge la mwana (haaa)
k+mbe mgambo
vitani hawezi kushika zana
aah! kweli kufa kufaana
nimeamini ya leo sio ya jana
(kweli ya leo sio…)
vizuri kufa na ujana
ila life ya dunia ni tamu sana
hizo sekunde na dakika
bora ningerudi nyuma
niwe bonge la bitozi
hata salamu ningeuchuna
mbio zimegonga ukuta
kusanuka kisha nuka
na matuta nimeruka nimeanguka
siwezi tena nyanyuka
ata ata shabaa
alinitonya wewe ni rafiki bar
nikapuuza kwa kujawa na mzaa wa kitaa
ghetto la dastamina pia nikalikataa
nilihisi kama nabanwa (kweli nilitoswa…)
wewe niliyekulea ukiumia nafeel pain
mtetezi juu yako kama jeshi la un
ulidaiwa sikusita kukulipia madeni
leo iweje uniingize mkengeni
nimeamini apangalo mola
huwezi pangua yeye ndiye anayejua
ningejua jinsi alivyo kuwa
nisingejisumbua k+mchukua
ubaya sitaki (twende)
dhihaki (wee) si rafiki
ubaya sitaki
nasema sitaki ubaki
mnafiki, rafiki gani mdananda?
nilikuwa ndani ya ghetto
na settle mipango ya kesho
mara ring ring, kucheki alikuwa mwana
story ilikuwa hivi nanukuu michapo
mwanangu sio siri unazari la mentally
kuna binti mtaa wa pili anadai anakukubali
anasema nyimbo zako unajua panga mistari
tajiri hatari wacha tuchume mali
isitoshe anafiga matata hana dosari
leo leo ukienda atakuhonga hata gari
kifupi sijajivunga na pozi zilikimbia
ulofa nilionao mnyamwezi nikajitupia
upendo kasi kama goli la first
tuliishi kwenye bangalo
sio nyumba za guest
shida nilishinda hata kwa manji navimba
k+mbe nimepewa goma limepigwa sindimba
yule dada ni muathirika nilitumika bila kinga
na mchizi alishajua na potimba nachinjwa
hee, hee, heee
heee heee hee
nimeamini apangalo mola
hawezi pangua yeye ndiye naejua
ningejua jinsi alivyo kuwa
nisingejisumbua k+mchukua
ubaya sitaki (twende)
dhihaki (heee ehe) si rafiki
ubaya sitaki
nasema sitaki (sitaki) ubaki
unafiki, rafiki gani mdananda
mamamamamma
nisingejisumbua kabisa
yeah eeh eeh
demu hafai iiih
dastamina aaeeeeh
dastamina, dastamina
demu hafai
dastamina
eeh demu hafai
Random Lyrics
- maher zain - ليتك معنا (laytaka ma'ana) lyrics
- den jonah - the way it goes lyrics
- krews - night owl lyrics
- lei dominique - not alone lyrics
- mad clip - mad clip forever lyrics
- em beihold - numb little bug (piano version) lyrics
- aj!nn - #free2oodark lyrics
- loco escrito - libre lyrics
- prozak - it`s too late now lyrics
- grandpa loves rhinos - it's not home without you lyrics