shetta - nidanganye lyrics
[intro: diamond platnumz & shetta]
yo, kgt
platnumz, baby
holla
holla
niko
shetta de shetta de shetta
okay
shetta de shetta de shetta
okay
shetta de shetta de shetta
okay
yo, chief q the boss
chief q
holla
[chorus: diamond platnumz & shetta]
we bora nidanganye, danganye, danganye tuu…
ukiniambia ukweli nitaumia
hata kama nikikukuta chumbani mutupu umekombatiwa
oh, nidanganye, danganye, danganye tuu…
ukiniambia ukweli nitaumia
si unajua kwako sijiwezi (uhn)
mi siwezi nitalia
[verse 1: shetta]
uhn, baby
nakupenda ndio
sikiza moyo w+ngu unayokwenda mbio
(yaani kasi)
usinipe wasiwasi
nighaasi ila ukinitenda sio
uhn
nakutaka wewe tu baby boo, higher
nidanganye wewe tu uwe true lier
ila ni vibaya ukinitupa kwenye fire
nipige kama kinanda na mi niimbe kama kwaya
(that’s wassup)
kitaa kuna tetesi
eti machizi kibao wanakuona mwepesi
sihitaji ukweli
baby please
sitanuna hata nikikufama na kgt
uhn
niambie kaka yako tu basi
love linanipa stimu kama nyasi
j+po nipo fit kama nyati
kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi
[chorus: diamond platnumz & shetta]
we bora nidanganye, danganye, danganye tuu…
ukiniambia ukweli nitaumia
hata kama nikikukuta chumbani mutupu umekombatiwa
oh, nidanganye, danganye, danganye tuu… (okay)
ukiniambia ukweli nitaumia (that’s wassup)
si unajua kwako sijiwezi
mi siwezi nitalia
[verse 2: shetta]
hekima na busara zishak+mba fikra zangu
hisia zikitawala sifichi kama utupu w+ngu
uje unikombate upokee zawadi zangu
kiss sio lazima danganya mashavu yangu
eh
ukweli unauma
na nikijua moyo itauma
fanya siri kama unaiba mali ya umma
na nikistuka nidanganye danganye tu kaina
kwako nimefeel ass
mi mpofu
nimezama kwenye hiki kina kirefu
nimetoka tanga na haya mahaba usinichukie
nataka unikosehe mamushika nijickie
njoo nidanganye mpaka wanangu waniaminie
kama unanimisi njoo maskani uniulizie
j+po wajanja wanakata tu dau
kukubali sio mbaya ila usinisahau
niigize angalau
ingawa nyuma ya pazia madharauu
okay
niigize angalau
ingawa nyuma ya pazia madharauu
[chorus: diamond platnumz]
(hey…)
we bora nidanganye, danganye, danganye tuu…
(danganye tuu…)
ukiniambia ukweli nitaumia (danganye)
hata kama nikikukuta chumbani mutupu umekombatiwa
(oh oh, hey, hey, hey)
oh, nidanganye, danganye, danganye tuu…
ukiniambia ukweli nitaumia
si unajua kwako sijiwezi
mi siwezi nitalia
[middle 8: both, shetta, ]
ukweli unauma (yes)
na nikijua moyo itauma
baby
nakupenda ndio
sikiza moyo w+ngu unavyokwenda mbio
ukweli unauma
na nikijua moyo itauma
okay
nakupenda ndio
sikiza moyo w+ngu unavyokwenda mbio
ukweli unauma (okay)
na nikijua moyo itauma
(ah, platnumz)
[outro: shetta & diamond platnumz]
hey
(sikiza moyo w+ngu unavyokwenda mbio)
it’s your boy
the president
shetta, sh, sh, sh, sh, shetta, sh, shetta, sh, she
(ukweli unauma)
ah, shetta, sh, sh, sh, sh, shetta, sh, shetta, sh, she
(moyo itauma)
okay (nakupenda ndio)
niko kgt
yeah
ah, kgt shadeed (ukweli unauma)
shadeed, shadeed (moyo itauma)
nakupenda ndio
nakupenda ndio
sikiza moyo w+ngu unavyokwenda mbio
ukweli unauma
na nikijua moyo itauma
nakupenda ndio
sikiza moyo w+ngu unavyokwenda mbio
inatosha
Random Lyrics
- zirkel - bescheid lyrics
- judy stone - love me like you mean it lyrics
- green apelsin - 16 lyrics
- raffine - yaşananlar var (kuvvetmira mega mixtape) lyrics
- truse - eyes meet lyrics
- lvmrig - вслух (aloud) lyrics
- dsblogic - rien n'est acquis lyrics
- olszakumpel - big belly boy lyrics
- getrichzay - yap yap lyrics
- daviddeuxfois - seulement nous lyrics