
shine nuny - te amo lyrics
te amo lyrics
intro
eeeeheeeyeee
tinoooo…
verse 1
mi nina langu la moyoni, mi nataka nikwambie
umenichanganya sioni, la mwengine nisisikiee..
yaan ba, kwako raha unanikosh+gawa wewe
kitandani samba, unakaba chenga mpaka nielewe
yaan baaa… kwako raha.. unanikosh+gawa wewe..
kitandani sambaaa, unakaba chenga mpaka nieleweeee
bridge
my lovee…. please please be mine always
huuuu, uuuhuuuuu…….
chorus
te amo mi amore, nakupenda babe
te amo mi querido, ni wewe pekee
te amo mi amore, nakupenda baby
te amo mi querido, ni wewe pekee
verse 2
kwenye pe, kwenye pe, kwenye penzi lako we, umeniweza na
kwenye hu, kwenye hu, kwenye huba lako we, umenichombeza na
mi na yeye till i die, hatuachani solemba
ana michezo ya kimasai, akipandisha mori hehaaa…
bridge
my lovee…. please please be mine always
huuuu….
in my lifee…. i can see no one else nowdays
uuuhuuuuuu….
chorus
te amo mi amore, nakupenda babe
te amo mi querido, ni wewe pekee
te amo mi amore, nakupenda baby
te amo mi querido, ni wewe pekee
outro
ni wewe pekeee… my babe…..
papito, goito, papito….
my loveeee…. my loveeee
my baby,nakupenda wewe… eeeeeh..
oh baby…. mupenzi….
uuhuuuu uuuhuuu ….
t3
tino…..
Random Lyrics
- fabiana cantilo - siento llegar lyrics
- king comeback - sexy mf (so sexy) lyrics
- elsa garcía - tus desprecios lyrics
- lunar fiction - destiny lyrics
- adrien broadway - parís lyrics
- yungtragedy - conclu$ion ft. yxngdrool lyrics
- itoldyouiwouldeatyou - elsie shutt lyrics
- cult of luna - adrift (live) lyrics
- btob - 흘려보내 (it's all good) lyrics
- warren hue - marni (boty freestyle #3) lyrics