sho madjozi - huku lyrics
[intro]
iyo,iyo iyo
iyo,iyo iyo
sho, madjozi
[verse 1]
kwani unataka madjozi ade ama nini
niahiambe aliki
mbona mwataka nasema napenda lakini
yeye haniambii
haweza akashindwa kifungo ata mia mbili
ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi
kini hanisikii
[pre-chorus]
kusubiri mimi kweli sitaweza
unanifeeli, keniwezi kunionyesha
sasa mimi nikihisi unanipenda
hukuniambia na ndio maana nilienda
[chorus]
hukuniambia, huku hukuniambia (huku)
niambia, huku hukunambia
niambia, huku hukunambia (huku)
niambia, huku hukunambia
hukuniambia kwamba wewe unanipenda
hukuniambia huku huku
hukuniambia kwamba wewe utaniweza
hukuniambia huku huku
[post chorus]
huku huku, (huku)
huku huku, huku
huku huku, (huku)
huku huku, huku
huku huku, (huku)
huku huku, huku
[verse 2]
sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inakunjika
usiku uliniona natembea na arayika
kini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia?
aje akipa kini hukunalika
wasa wanasema nionyeshe uacha kutificha
ni lakuni hambiaa
[pre-chorus]
kusubiri mimi kweli sitaweza
unanifeeli, keniwezi kunionyesha
sasa mimi nikihisi unanipenda
hukuniambia na ndio maana nilienda
[chorus]
hukuniambia, huku hukuniambia (huku)
niambia, huku hukunambia
niambia, huku hukunambia (huku)
niambia, huku hukunambia
hukuniambia kwamba we unanipenda
hukuniambia huku huku
hukuniambia kwamba wewe utaniweza
hukuniambia huku huku
[post chorus]
huku huku, (huku)
huku huku, huku
huku huku, (huku)
huku huku, huku
huku huku, (huku)
huku huku, huku
[outro]
sho, huku huku
huku huku, huku
aish, sho!
Random Lyrics
- display - última vez lyrics
- shallow vera - shoreline lyrics
- jennie vee - kiss the dust lyrics
- jayber crow - the limited voice of the american crow lyrics
- mazz - laura lyrics
- superbee - yellow gold - 3497635 lyrics
- joshua morata (denounced) - on my mind lyrics
- der nino aus wien - unentschieden gegen ried lyrics
- lo stato sociale - sono così indie 2018 + guests lyrics
- france gall - pense à moi lyrics