shonito jadie - hardcore chronicles lyrics
(chorus)
(awololo awololo awolo ah ah awololo..awololo awololo awololo awololo)×2
(verse 1)
yow..ni saa sita buda ndio nimeamka, nacheki time nimechelewa k+meet na msupa
mbio mbio nimechapa ngasha too fast nadigi tenje yangu joh ni ma missed call full tank
basi joh napiga chai na ndunya natoka teketeke nisiwache hio thutha
na by the way kwa mbosho nikona tu punch kanyangia ferrari na nimebondea donda
si nimewaka bana luku iko rada nimepiga manikey juu chini msanii gangster
tulia joh wacha niwachie hapa nipige kopo la maji halafu ntawapanga
nasema nimewaka bana luku iko rada nimepiga manikey juu chini msanii gangster
tulia joh wacha niwachie hapa nipige kopo la maji halafu ntawapangaa
(chorus)
(awololo awololo awolo ah ah awololo..awololo awololo awololo awololo)×2
(verse 2)
si buda joh nimefika hivyo town nimedungia msupa akanipiga maground
bahati tu nikampata around gyala wid the big bompa cheki vile zina+++ yowyow
ashanihug bana vile inafaa ashaniingisha orosho hapa bana ni kubad
kidogo joh msupa anadai what…”aki jadiе twende lunch mi aki naskia njaa”
nikamshikia kinjiva na aah…
after that kiburgеr na ma aah…
nimekausha hio time yote ya lunch si unajua ndio nisikae aah…
kidogo msupa anadai ma aah…
kidogo msupa anadai ki aah…
najua huyu dem ameweza lakini vile ananipeleka joh keuti alaaa..
(chorus)
(awololo awololo awolo ah ah awololo..awololo awololo awololo awololo)×2
Random Lyrics
- buddh4 - 4 (freestyle) lyrics
- percatric - have ya heard lyrics
- ded hvsvn - путь транжиры (the way of the spender) lyrics
- мокери (moxckery) - дейдара (deidara) lyrics
- evil darkness - the cruel reality of the enemy lyrics
- w1nda - pay for lyrics
- jay lav - 93 lyrics
- lex carter - picture painting lyrics
- sega bodega - humiliation doesn’t leave a mark lyrics
- mykal magenta - mannequin (freestyle) lyrics