
sijafunzwa - yammi lyrics lyrics
[verse 1 : yammi]
unaweza ukaniona nacheka
ila moyo w+ngu umeficha mengi
maisha yamejawa na heka heka
kila hatua moja ni kigingi
kuna vitu vingine vinaumiza
kula yangu ni ya kudunduliza
kuna muda nahisi kukata tamaa
ila nak+mbuka mama ananitazamaaa
[verse 2 : yammi]
zagala zagala, langu buku linatosha
pilau la masimango, sio siri linachosha
zagala zagala, langu buku linatosha
pilau la masimango, sio siri linachosha
[chorus : yammi]
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
[verse 3 : mdogo sajent]
ona maisha, maisha magumu
nikik+mbuka mbali nilipotoka
mengi nyumbani, nyumbani majuk+mu
ndo yalofanya shule nikaiacha
namshukuru sana mungu
aaah aaaah, w+ngu mungu
j+po mtaani kuna majungu
aaah aaaah, mengi majungu
wabaya walimwengu
wenye chuki na mie
ambao hawataki niendelee
langu zuri kwenu baya waja nyie
na sijui kwanini hawataki niendelee
[chorus : yammi]
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
Random Lyrics
- what's the rush? - chandol lyrics lyrics
- dream - upclosechris lyrics lyrics
- hasta el cielo - saramalacara lyrics lyrics
- caterpillar man - jivefunkadelic lyrics lyrics
- mimpi lagenda - arvindacai lyrics lyrics
- 10 pm in tenerife freestyle - larial lyrics lyrics
- fuck it all up! - viip3rx lyrics lyrics
- переживём (we'll survive) - михаил бублик (mikhail bublik) lyrics lyrics
- negócio é - raul seixas lyrics lyrics
- someday - the parlor mob lyrics lyrics