sir lastborn - mifupa mikavu lyrics
intro:
uuuh lastborn lastborn hee eeh mifupa mikavu uwehai tena mifupa mikavu uwehai tena mifupa mikavu nakutabiria mifupa mikavu uwehai tena
verse 1: chicha musiq
kukosa nyama haimanishi hauna maana nikujituma kaka bratha we kazana wanakuchongowa ukipita usiku mchana usije ukaworry anakupenda hivo maulana wakiku diss unafanya? unapambana usiishi reckless yes bana wanakulenga kwa sababu umekonda na na mola anakupenda all over (wanakulenga kwa sababu umekonda na mola anakupenda all over atakulinda ye ndio soldier usife moyo eeh eeh eeh)
chorus;
mifupa mikavu uwehai tena
mifupa mikavu uwehai tena
mifupa mikavu nakutabiria
mifupa mikavu uwehai tena
verse 2; phil kimemia
wakinidiss na duu mi napambana misiishi vireckless yes bana, wakinidiss na duu napambana misiishi vireckless yes bana
da tidagīra mūthenya itarīti
irio ciarī cia hūainīī
garīa kathīri gathii gak+ma
gai dadiganirī īī
chorus;
mifupa mikavu(wouw) uwehai tena(yeey) mifupa mikavu uwehai tena mifupa mikavu nakutabiria
mifupa mikavu uwehai tena
yeeey yee yee mifupa mikavu wuoo ooh eeh
mifupa mikavu uwehai tena mifupa mikavu uwehai
tena mifupa mikavu nakutabiria
mifupa mikavu uwehai tena
mifupa mikavu uwehai tena
mifupa mikavu uwehai tena mifupa mikavu nakutabiria
mifupa mikavu uwehai tena
Random Lyrics
- jonathan (maurizio pracchia) - il fiore nella polvere lyrics
- harm & ease - cotton lake lyrics
- viviane - fado mambo lyrics
- sketchpad - it's alive lyrics
- lupe fiasco - black is beautiful (george floyd tribute) lyrics
- tom robinson band - crossing over the road lyrics
- yung jer - review me lyrics
- brünost - mad city 2020 (kom å ta meg) lyrics
- banda trybos - a chama que não se apaga lyrics
- yung tay - daily lyrics