sir yongo - kadongo usijali (from "kadongo episode 2") lyrics
[intro]
loaded warrup!
kadongo
kadongo
kadongo
(arose go crazy!)
ooh
[verse 1]
kadongo usijali, maskini si kilema
ili ufike mbali, wala usikate tamaa
wachekao ‘siwajali, nawe usirudi nyuma
wasemayo kifidhuli, yasikushikishe tama
[chorus]
kadongo ninajua una mawazo
ila usijali nguvu unazo, na talanta
naye dada yako anakuona
wala usikate tamaa, jipe moyo
umaskini si kilema
ipo siku itafika, utaomoka
ipo siku itafika, yatakuwa sawa
kadongo, kadongo
[verse 2]
kesho yako, iko ndani ya leo yako
kesho yako, iko ndani ya leo yako
talanta unayo, future unayo, jipe moyo
talanta unayo, future unayo, jipe moyo
kadongo, kadongo, kadongo, kadongo, kadongo
umaskini si kilema
[chorus]
kadongo ninajua una mawazo (ninajua)
ila usijali nguvu unazo, na talanta (talanta unayo)
naye dada yako anakuona (ooh)
wala usikate tamaa, jipe moyo (ooo, oh!)
umaskini si kilema
ipo siku itafika, utaomoka
ipo siku itafika, yatakuwa sawa
kadongo (kadongo), kadongo (kadongo)
[outro]
maskani, na warembo wenzako wanakutenga
usijali, ipo siku
kadongo
kadongo
it’s sir yongo!
Random Lyrics
- the newfangled four - the bare necessities parody lyrics
- steven byess & ohio light opera - el capitan, act iii: "come, isabel" lyrics
- mitar mirić - svi, svi lyrics
- tkay maidza - wasp lyrics
- desolation horse - i had in my hand a hand lyrics
- comb4t - one eye lyrics
- pantocrator - polígrafo lyrics
- eddie noack - my old pal lyrics
- t'antum - another lyrics
- gunna - exotic (alternate) lyrics