sir yongo - unaweza (mmidzichenda) lyrics
it’s sir yongo!
[chorus]
mmidzichenda wee, mmidzichenda wee
unaweza wee, unaweza wee
mmidzichenda wee, mmidzichenda wee
unaweza wee, unaweza wee
(depo on the beat!)
[verse 1]
nimekaa nikawaza
‘toka wapi natokeza
yangu asili ee, yangu asili ee
mimi mpwani najijua
najielewa natambua
mijikenda ee, mijikenda ee
mila zangu naelewa
uwezo w+ngu naelewa
na nidhamu ee, na nidhamu ee
siku nyingi tuko nyuma
sasa twapewa heshima
taratibu ee, tunapanda ee
siku nyingi tuko nyuma
sasa twapewa heshima
taratibu ee, tunapanda ee
[chorus]
mmidzichenda wee, mmidzichenda wee
unaweza wee, unaweza wee
mmidzichenda wee, mmidzichenda wee
unaweza wee, unaweza wee
[verse 2]
mbinu ziko kujijenga
kiuchumi kujipanga
tufikirie, tufikirie
mashamba ya rutuba
tuyafanye usuhuba
‘tononoke ee, ‘tononoke ee
kuna mito na maziwa
na samaki wa kuliwa
na bahari ee, na bahari ee
elimu imarika (elimu)
ufadhili ushafika
mashinani ee (mashinani), mashinani ee (mashinani)
elimu imarika (elimu)
ufadhili ushafika (ufadhili)
mashinani ee (mashinani), mashinani ee (mashinani)
[chorus]
mmidzichenda wee, mmidzichenda wee
unaweza wee (unaweza), unaweza wee (unaweza)
mmidzichenda wee (unaweza), mmidzichenda wee (unaweza)
unaweza wee (unaweza), unaweza wee (unaweza)
[outro]
wadigo (hae!)
waduruma (hae! hae!)
wagiriama, wakambe
wachonyi
waribe
warabai
wajibana
wakauma
mijikenda (together as one)
mijikenda (together as one)
we’re a one thing
we’re a family
a big family
we’re a big family
bless up!
it’s sir yongo!
Random Lyrics
- sad agenda - teeth lyrics
- moneyboss - back like i never left lyrics
- flow ebk - for bro lyrics
- ll negar - akemii lyrics
- old collin - rox lyrics
- kyle rencher - random song lyrics
- classicsmlthumbnails - jay shiestyy disstrack lyrics
- drew green - this miller lite of mine lyrics
- hi5 usa - three wishes (american version) lyrics
- sima galanti - head over heels lyrics