azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sir yongo - utamu lyrics

Loading...

it’s sir yongo!

[intro]
for real, for real
for real, for real
for real, for real

[chorus]
ah, nakupenda sana dada na
nimedata na penzi lako, oh
nakupenda sana dada, ah
niwe wako, oh
nakupenda sana dada na
nimedata na penzi lako, oh
nakupenda sana dada na
‘o utamu utamu tu
uh uuh, ‘o utamu utamu tu
mh, mmh, ‘o utamu utamu tu
uuuh, ‘o utamu utamu tu
mmmh, aah aaah
[verse 1]
we’ ni mtamu hata kuliko asali
we’ ni mtamu na nakujali
we’ ni mtamu na siendi mbali
baby, baby
na sura yako kama mdoli
na sura yako kama mdoli
nakupenda sana oo mwali
mwari, kimwali i
sema utakacho mi’ nitakupa
niko radhi hata kukopa
baby girl you’re my only one
sema utakacho mi’ nitakupa
niko radhi hata kukopa
baby girl you’re my only one
my only one

[chorus]
ah, nakupenda sana dada na (dada)
nimedata na penzi lako, oh (penzi lako)
nakupenda sana dada, ah (dada)
niwe wako, oh (uuh, uuuh)
nakupenda sana dada na (dada)
nimedata na penzi lako, oh
nakupenda sana dada na (dada)
‘o utamu utamu tu
uh uuh, ‘o utamu utamu tu
mh, mmh, ‘o utamu utamu tu
uuuh, ‘o utamu utamu tu
mmmh, aah aaah
[verse 2]
for real, for real
people don’t beliеve that our love is strong (hii, hii)
me and you is morе than a bond (yeah)
more than a friend (yeah)
you’re more than a friend (more, more)
just kiss me i don’t fear paparazzi
pia wakitaka tuwapashe waziwazi
just kiss me i don’t fear paparazzi
na pia wakitaka tuwapashe, waziwazi
yeah, waziwazi

[outro]
sema utakacho mi’ nitakupa
niko radhi hata kukopa
baby girl you’re my only one
sema utakacho mi’ nitakupa
niko radhi hata kukopa
baby girl you’re my only one
my only one



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...