sirhustler - jumapili hadi mosi lyrics
sirhustler aka cj,invisible master mind the real sniper another global cl-ssic societymusic inafaa
verse
nimeamua by the way kufuata one way maovu na dispose mema na retain
kuwa holly joe si siri najivunia kufuata one way ndio ni sitereze
juu wengi ni wao wanao subiri ni tereze usiku na mchana ili hali waniwide
kuwa mwana mziki si siri ni kipaji juu day after day mi huota sanaa
kwa hii game ukipende niite shujaa kwa msimamo dhabiti still kaa bingwa
matatizo yapo mengi tangu kuzaliwa
lakini on this game i focus on succeess nikipata still naendelea kushaka
but nikikosa pia naongezea juhudi
ndani ya hii game mi simtabui mtu iwe rafike au adui wote nikaa ndugu
nikiwa on top na jaribu k-maintain but nikiwa down nataka kuwa up
ndani ya hii game bado nipo the same ndani ya hii game niko kama kawa
chorus
jumapili jumamoshi bado nipo the same ‘ee’
sibadiriki hata
jumapili jumamoshi bado nipo the same ‘ee’
ndani yah hii game
verse
wanaona niki rise wana wish niwe dead juu ndani ya hii game makifili ni wengi
i still do my thing bila beef naye yote still kaa abas niki blaze more fire
kaa ni ug na bongo nisapata sifa still kaa nas mjeshi niko randa
tabia za karembelea ndio za ni changanya wakini diss kwa ubaya na respond kaa chui
si kichaa au dharau elewa deal jina mwana mziki ndio yanipa riziki
ndani ya hii game niko kama kwa
ndani ya hii game mi sifanyi kinaya
chorus
jumapili jumamoshi bado nipo the same ‘ee’
sibadiriki hata
jumapili jumamoshi bado nipo the same ‘ee’
ndani yah hii game
verse
kaa kurise ni kublow naku blow niku rise then ndani ya hii game
na rise niki blw kaa kushine ni kung’aa na kung’aa niku shine
then ndani ya hii game na shine niki ng’aa
baada ya thiki ni faraj wa henga wa kasema
nisa pitia thiki but sioni faraja
nataka kupaa but sina mabawa
ni hard kuwa high all the time ndani ya hii game
bado nipo the same ndani ya hii game niko kama kawa
chorus
jumapili jumamoshi bado nipo the same ‘ee’
sibadiriki hata
jumapili jumamoshi bado nipo the same ‘ee’
ndani yah hii game
Random Lyrics
- lasse stefanz - sara solsken lyrics
- marcos - fuck all that running up lyrics
- jay cee (fr) - trippy life lyrics
- iamj$mith - birthday sex (jeremih remix) lyrics
- jdhunterx19 - copaface2 lyrics
- yankie - sold out lyrics
- yusukekira - machine gun lyrics
- snoop dogg - pocket like it's hot lyrics
- bustamante - gitana lyrics
- green out - koja e taa? lyrics