azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sketch yours truly - kabingi lyrics

Loading...

kabingi lyrics
chorus

siwezi amini
niko kamili
bila kabingi
mali kwa wingi
saka kaziji + 2

verse 1

siezi amini sina kibingi leo nko chini
leo sijaseti sina shillingi arosto kwa wingi
nyaru hazishiki hata kingale maze ni ngware
mood iko chini maze nisare mzuka ni nare
beat ni ya ariff acha itambe vista ako on wacha ziwake
basi mizuka wacha ipande puff puff pass it wacha kasonge
track na j lazma ibambe cooked na sketch lazma igonge
mtoto masafi kameseti kwa mini pection pection rada safi
waezi amini rastaman na sina kinyongi

chorus

siwezi amini
niko kamili
bila kabingi
mali kwa wingi
saka kaziji+ 2
verse 2

ignas kwa verse
skiza kilio
nani yunyambisha
you know the dealio
i party any day though
tukilift big joints you know
tuko gym kush kush people
macigar tuko bazeng code
i puff i pass
na staki warazi kwa section
mach lazy korean nation
meditation ya waras
nina pengting na shash
tuko fly all hеll week
7 days she on my meat
(cough) know what i mean

vеrse 3

on niko lain
nikute mahali
juu ya fadhili
boy niko on
kama uhunye
macho red ni kama mi sheto
shades zifiche macho
thinking ni kama ya prezzo
invest nipate hio benzo
tint iko na uwezo
urazi huwezi nishow
team inarun streets
poetic niku juu ya high
never complete
siwezi repeat
hii najua itahit
chorus

siwezi amini
niko kamili
bila kabingi
mali kwa wingi
saka kaziji +2



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...