
so-lo (tz) - janjawidi episode 1 (game) lyrics
verse 1:
whoa
game ishakufanya vibaya nakupa pole
cheki mpaka kina mabeste wanakupa dole
nyie nyosheni tu vidole si hatuna worry
worry, na tukichana watu wote hoyee
naskia kelele za my n+ggas ‘ali bomaye!’
walijaribu kutuiga wamebuma yeah
kimbiza rappers kama swala mi ni duma yeah
mpumule, mpumule, mzungu shehe
tuache si twende kama unataka unga tela
waache walimbwende watufate si tuna hela
jishuku sio ushoboke ka’ ebitoke mi sio mlela
ka’ unakula kitimoto kanzu kwako kama dela
dela, ‘ella
making rain tafuta umbrela, ‘ella
pain na gain utasema mandеla, ‘ella
dar to soweto mpaka zamdela, kau sеla
tushaachaga sa’ dadaako ndo anavaa shela
ka’ sidika vera
yeah
na game haliko poa
vibonde wanatoboa
nachana hadi wanatoa mimacho wanakodoa
na verse zinabomoa
ngome hadi ngome, kidume nawach0m+a
wazembe ndo nawatoa nishai mpaka naboa
wachovu nawazogoa
na kama wananiweza si basi wanifate? poa!
wakuje niwameze kama safina ya noah
siwafungi kama mechi nikifunga ni mkeka ndoa
me ndo mkali wa streets sio tu dar mpaka mkoa
(ha ha, solodolo yeah)
Random Lyrics
- zain aslam & ashez lit - rul gaya lyrics
- broson - how to make a million lyrics
- milleniumkid - sommerkleid lyrics
- ccinnissoxi - губы lyrics
- beastboi. - scream 4 me lyrics
- sokratis malamas - για την ελλάδα - live (gia tin ellada) lyrics
- scoochie boochie - vi. ty dewie lyrics
- nettspend - how we rock/white rose* lyrics
- c.o. - her lyrics
- grimzlee - below lyrics