spice diana - upendo lyrics
(spice dina)
umepata mabinti lakini
mimi napiga kama kush
nimeshika maboss wa kampala
wote nikawa+crush
jina langu ni diana
nilikuwona toka jana
sasa kama tumekuta
kila kitu baby we are gonna do
upendo oooh, upendo oooh
upendo sio magic huu ni upendo
upendo oooh, upendo oooh
upendo sio magic huu ni upendo
(zuchu)
mapenzi, mapenzi
yamenizidi kwa kichwa
me mwenzu siwezi
mapenzi, mapenzi
yamenizidi kwa kichwa
tena mwenzu siwezi
akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
na visamba soti umainulia
aichane mpaka nyavu
to the left, kulia (kulia)
atakacho mimi sawia (sawia)
kama kasheti vibagia (bagia)
chachandu uniw+ngia
akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
na visamba soti umainulia
aichane mpaka nyavu
ameni+touch touch iyoo
amenigusa gusa
vya juu, vya chini, vya nje
vya kati pia
amenigusa gusa
ameni+touch touch iyoo
amenigusa gusa
Random Lyrics
- mamazi - ballerina lyrics
- afterglow (mex) - solid lyrics
- antara mitra & arijit singh - raat akeli thi (from "merry christmas") lyrics
- sleazyworld go - 32 bars lyrics
- ann ucero - qué más da lyrics
- roshii - we can count to 9 lyrics
- wesley preis - gap year lyrics
- jvl - kein empfang lyrics
- 张杰 (zhang jie) - 不眠之夜 (white night) lyrics
- kleinstadt - halbkalter kaffee lyrics