azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

steve rnb - majaribu lyrics

Loading...

[intro]
(ready)

[verse 1]
natamani mi nitoke
siko happy, siko okay
nahisi kama nimepotea
mengi majaribu
amenipa upendo wote
hakubakiza chochote
nahisi maumivu yake
ah, majaribu

[hook]
jaribu
jaribu
namuomba mungu aniepushe na aibu

[verse 2]
nilidhani siku zote
yako hivi siku zote
mapenzi kw+ngu yamepotea
na jaribu (oh, oh)

[verse 3]
hivi alinituma nani
au nani anajua thamani
haya mapenzi yalikuwa zamani
bado na jaribu (majaribu)
[chorus]
jaribu
jaribu
namuomba mungu aniepushe na aibu
jaribu
jaribu
namuomba mungu aniepushe na aibu

[post+chorus]
mengi majaribu
mara maumivu
sina haja ya kuigiza
wala [kuumiza] moyo (yo)
mengi majaribu
mara maumivu
sina haja mi kuigiza
wala [kuuibia] moyo

[hook]
majaribu
mara maumivu
siko tayari mi kuigiza
mara [kuumia] moyo, yeah

[verse 4]
natamani mi nitoke
siko happy, siko okay
nahisi kama nimepotea
mengi majaribu
amenipa upendo wote
hakubakiza chochote
nahisi maumivu yake
haya majaribu
[chorus]
jaribu
jaribu
namuomba mungu aniepushe na aibu
jaribu
jaribu
namuomba mungu aniepushe na aibu

[post+chorus]
mengi majaribu
mengi maumivu
sina haja ya kuigiza
wala
mengi majaribu
mengi maumivu
sina haja ya kuigiza
wala
mеngi majaribu
mengi maumivu
sina haja ya kuigiza
wala kuumia moyo
[inaudible drop]



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...