![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
sugu jay - nani kama mama lyrics
[intro]
yeah, this dedication kwa mama wote duniani
mama anapotafuta, sio za kunywa beer ama kupatiya ma bwana
lakini bwana,….
mama, i love u
[chorus]
nani mwema kama mama, hutomupata
nani mwema kama mama, hutomuona (x2)
[verset 1]
nani kama mama, kwa kweli hakuna kama mama
kwa mama mtoto anadeka, anapata anachotaka
anadekeshwa kila siku, kwa kweli hakuna kama mama
mama anapoangaika, anatanga huku kule
ili wanae wasiteseke
mama wee, nani kama wewe, ….
mama we, hakuna kama wewe
[chorus]
[verset 2]
mama alipo beba mimba, baba akamutupa
ndugu na marafiki, wakamutenga
alivumiliya sana, hakuwaza kunitupa
tuliishi kwa shida, nani kama mama…
[chorus]
[ verset 3]
wa mama (x2) mtoto anadekezwa
wa mama (x2) ananyamazishwa
wa mama (x2) na anabembelezwa
wa mama (x2) oooh, ooh
wa mama (x2) anapata anachotaka
wa mama (x2) na mapenzi uvumilivu
wa mama (x2) oh oh oooh mama, hey
[chorus]
Random Lyrics
- summertime's end - airport dreams lyrics
- hatik - love et succès lyrics
- dazione - bop it lyrics
- colton brown - hard times lyrics
- lol boys - changes lyrics
- rakrhymez - goin bad remix lyrics
- wyclef jean - justice (if you're 17) tribute for trayvon martin lyrics
- the shondes - on your side lyrics
- reel big fish - the kids don't like it (skacoustic) - best of lyrics
- cxris - fuckit lyrics