sunny voice - kwa mfano remix lyrics
[intro/hook]
hambawe hambawe hambawe hambawe
hambawe hambawe hambawe hambawe
[verse 1]
kwa mfano uliskia wapi unapata hisia kwa mtu uliyemfumania?
kwa mfano uliskia wapi unammisi mtu ambae amekununia?
kwa mfano ulitaka nisizini na wakati unanibania?
kuna muda nawaza nachoka, natamani hata kukuambia
natamani mbona mwanzoni sisi hapa tulishibana ugomvi mi siwezi
mistaki mambo gani vitasa tunapigana, kurumbana siwezi
yanini? nak+mbuka zamani tulipendana, ooh imekuaje kipenzi?
mistaki nasikia hivi sasa wewee umepata mpenzii
[pre+chorus]
dah, ulichokikosa kw+ngu ukakipate huko uwendako anjera
nitak+misi mwenzangu na vyako vituko umeniacha wanjera
ulikuwa mwanangu we kipenzi changu, imekuaje wanjera?
sio bahati yangu, sio riziki yangu, mapenzi yanakela
[chorus]
dah, nafsi yangu nilikupa unitunzie mpenzi, ila wenye pesa walikudanganya
mapenzi ukasaliti na ukanikana, ukaniacha dunia ikiniandama
kuwa nawe tena haitowezеkana mpenzi, nishampata ambae tunapendana
ulinipa majеraha makubwa moyoni, ila nimemuachia maulanaa
[hook]
hambawe hambawe hambawe hambawe
hambawe hambawe hambawe hambawe
hambawe hambawe hambawe hambawe
hambawe hambawe hambawe hambawe
[verse 2]
kama ikitokea nipewe nafasi ya kusema
mi nitaongea kuwa sikutaki tena
ulinionea ukaniona thamani sina
mi sikuongea nikawa tu nakutazama
natamani nifunike ukurasa wa mapenzi nisijisumbue kusoma
mi staki, mi staki kuyasikia mapenzi nisije nikazikwa kwa ngoma
yanini kutwa niyalilie mapenzi wakati hata njuruku sinaa?
mi staki, mi staki kuyasikia mapenzi nisije nikazikwa kwa ngomaa
[chorus]
dah, nafsi yangu nilikupa unitunzie mpenzii, ila wenye pesa walikudanganya
mapenzi ukasaliti na ukanikana, ukaniacha dunia ikiniandama
kuwa nawe tena haitowezekana mpenzi, nishampata ambae tunapendana
ulinipa majeraha makubwa moyoni, ila nimemuachia maulanaa
[outro/hook]
hambawe hambawe hambawe hambawe
hambawe hambawe hambawe hambawe
hambawe hambawe hambawe hambawe
hambawe hambawe hambawe hambawe
Random Lyrics
- josh. (uk) - one day (just you and i) [live at the amersham arms 2023] lyrics
- hurricane07 - во сне / ничего lyrics
- meso (dnk) - memoir lyrics
- banda calypso - cantando o amor (arrebenta) [ao vivo em goiânia] lyrics
- kaaris - tonnano lyrics
- banda calypso - lelezinha (ao vivo em angola) lyrics
- laddi - rokkað út jólin lyrics
- kruk_042 - pokemon lyrics
- gabriel nandes - profano - live acústico lyrics
- jane inc. - freefall lyrics