azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

susan wanjiru - nakupigia lyrics

Loading...

intro
no no no no no kwani nini mhhh mhhh no no

chorus
usi zime simu mpenzi hujui kwanini mimi nakupigia,mbona wanichunia,usikatae kushika simu hujui ni nini ntakuambia, nini ntakuambia

verse 1
siku mbili au tatu sikuoni wewe uliondoka kwa hasira ukaenda zako, mizigo yako kachukua sijui sababu, nieleze ni kwanini we umeondoka

chorus
usi zime simu mpenzi hujui kwanini mimi nakupigia, (nakupigia nakupigia) mbona wanichunia (uuuuu uuh) usikatae kushika simu hujui ni nini ntakuambia, (ntakuambia ntakuambia) nini ntakuambia

verse 2
nimepata ujumbe wako katika barua umesema ati mimi nakupiga chenga ukasema uko na hakika niko na mwingine nakutafuta nikueleze lakini sikupati

bridge
kwanza sijui huyo ni nanipili sijawahi enda hepi peke yangu tatu unayo simu yangu na mimi nina yako, sina mwingine ni wewe peke yako, wewe pekee, wewe yeeeeh wewe(nakupigia nakupigia) shika simu mpenzi mpenzi (nakupigia nakupigia)nataka kukuongelesha, (uuuuu uuh) (ntakuambia ntakuambia) uuuusizime simu nataka kukuambia (ntakuambia ntakuambia)usizime simu usikatae, hujui kwanini nakupigia usizime usizime usikatae usikatae kushika simu yangu, mimi ntakuambia, usikatae usikatae



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...