
t.i.d. "mnyama" - viwanjani lyrics
[pre+chorus: t.i.d.]
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
[verse 1: t.i.d.]
kwa kifupi nimefika, na nguvu zote kufunika
viwanjani kuwarusha, ngoma zangu zinabamba
huna budi kutingisha, nnachotaka kukuona unajirusha
mf+koni kama umekamilika, muziki mnene wa majani umebamba
[chorus: t.i.d.]
kina dada wote, kina kaka wote ‘leo, viwanjani
kina dada wote, kina kaka wote ‘leo, viwanjani
wakati ni huu, wakati umefika baby, viwanjani
wakati ni huu, wakati umefika baby
[hook 1: t.i.d. & saigon]
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah (ah+ha, ha, ah+ah), na kama kweli unanipenda
[verse 2: saigon]
uh, t.i.d., khalfan, saigon, shkopa
inasikika kwenye kipaza cha ladha shkopa [?] njoo, oh+oh, kiwanjani, shkopa
usione soo sema nae unayemuona shkopa
dj ana+, ‘scratch ki shkopa, ayeh, ayeh [?] huwa masela shkopa
njoo oh+oh, kiwanjani, shkopa
usione soo mshtue mwenzio atoke shkopa (shkopa, oh, oh), hii flow inanik+mbusha siku ya fiesta, njoo ‘k+mbuka kama unajisikia cheza
badmon side, t.i.d. shotta, khalfan shotta, i and i
topper, topper, topper, the topper+the topper+the topper+the topper, the topper (oy, oy, oy)
njoo, njoo, ‘saigon featuring t.i.d
[hook 2: t.i.d. & saigon]
sema ooh, ooh (njoo), tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh (oh, oh+oh), tingisha kama we unaweza (yoh, yoh), sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
[verse 3: t.i.d.]
flow ni tamu sana, unapocheza, umependeza (sing it), tingisha kiuno kama unapenda ragga (sing it, sing it), hii ngoma imebamba (sing it), unapocheza, (oh, yeah), (sing it), unapendeza (oh, no), midundo ya ragga, hii ngoma imebamba (sing it, sing it)
[post+chorus]
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
sema ooh, ooh, tingisha kama we unaweza
sema aah, aah, na kama kweli unanipenda
[instrumental outro]
Random Lyrics
- anderson east - chasing you lyrics
- aly & aj - lasso lyrics
- julian barratt & the mighty boosh - isolation lyrics
- mack keane - person i knew lyrics
- sk8star & tezzus - blood in, blood out lyrics
- anjar ox's - pacarku kamu ku rindu lyrics
- fler & saad - sehen um zu glauben lyrics
- utente175 - rimedio lyrics
- iverson pro - dash inc. lyrics
- noah (can) - they come, they go lyrics