azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

t.i.d. "mnyama" - watasema sana lyrics

Loading...

[verse 1: t.i.d.]
wahenga walinena
chanda chema huvishwa pete
kwa vijembe nikasemwa
ilimradi unitose
si utani, ‘una nithamini
uko tayari tufe wote
ka maua yachanua
na wenye wivu wajinyonge

[chorus: t.i.d.]
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(na kisha watalala)
kama kunipenda
(kunipenda, kunipenda)
najua unanipenda sana ‘oh, yeah
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(oh, yeah)
kama kunipenda
(kunipenda)
najua unanipenda sana ’oh, yeah
[verse 2]
kama kweli unanipenda, ‘simama wima cheza zeze
na siamini sitoimba, ‘tuko wote mi na wewe
kwa kweli nakupenda mpenzi
kwa kweli mwenzio sijiwezi
na isiwe kama siku kama hizi
nakukosa mpenzi

[chorus]
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(na kisha watalala)
kama kunipenda
(kunipenda, kunipenda)
najua unanipenda sana
oh, yeah
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(oh, yeah)
kama kunipenda
(kunipenda)
najua unanipenda sana ‘oh, yeah

[bridge]
wote, wote
chanda chema huvishwa pete
ma…
pete, pete
mmh…
ili mradi unitose
untose, ntose
(oh, yeah)
uko tayari tufe wote
wote, wote ee
wenye wivu wajinyonge
[verse 3: n+z+zi]
what ah gwan?
mbona wanasema na usiku wana+run?
lazima ni ma changudoa ama [chichi mon]
sengenya sana na mwisho nita mwaga damu
(oh, yeah)
n+a+z+i+z ‘na t+i+d
acheni kutunga hadithi ili muuze gazeti
jua mchana, ‘utatoka usiku, utazama mwezi
ukitoka’ wabishi watalala
t.i.d., chill

[chorus]
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(na kisha watalala)
kama kunipenda
(kunipenda, kunipenda)
najua unanipenda sana
oh, yeah
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(oh, yeah)
kama kunipenda
(kunipenda)
najua unanipenda sana
oh, yeah
[chorus: repeat]
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(na kisha watalala)
kama kunipenda
(kunipenda kunipenda)
najua unanipenda sana
oh, yeah
watasema sana
(watasema sana)
na kisha watalala
(oh, yeah)
kama kunipenda
(kunipenda)
najua unanipenda sana
oh, yeah

[instrumentals]



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...