tallie - get it lyrics
napenda banana kama minion
lakini hauwezi jua me hujificha ka chameleon
ibeat ka odijo ibeat ka producer
ishike ka ni yako wacha kuigusa gusa
unaogopa nini ama huniamini
kwani peng ting hawezi kuskia nini
kwani mandem leo hauskii thithii
juu leo sina ninii na nadai si tuniinii
najua unaniget so usichome bet
leo tuna construct si unajua niko set
wachana na flash leo nispin ka cassette
tumake mpaka tape watuset kwa gazette
puff puff shash me i don pass
nipin kwa ukuta kama compass
baby nibebe leo we ni donda
napigishe nduru kwa kitanda kama concert
i can get it
you can get it
me i can get it
i say uh
i can get it
you can get it
me i can get it
i say uh
mama ntiliе wacha nikupakulie
sema utadishi nini wacha nikuandalie
utakunywa beer ama nikukaribie
utanidandia alafu me nikudandie
haachu unanipa feever
unanipeleka kule juu ka sativa
si nikubatize kama don me ni diva
king kong kando yako si ni queen sheebah
nipe nikupe
zikishika zisi shuke
piga kitu ikikufa ifuf+ke
njaro za lazaro oya basi twende nalo
twende mpaka me nifanye ting badi malo
i can get it
you can get it
me i can get it
i say uh
i can get it
you can get it
me i can get it
i say uh
Random Lyrics
- billy crockett - bendico's shoes lyrics
- street sweepers - talk is cheap lyrics
- skyclad - state of the union now lyrics
- the darcys - kiss lyrics
- gxlden - de cria lyrics
- eminent (r.i) - sarin lyrics
- zenaware - replay lyrics
- dr. rubiks - style (freestyle) lyrics
- hetroertzen - uprising lyrics
- tiffxny - wish lyrics