
taseni rock rhymes - wa ubani lyrics
verse
h+llo dadaaaaa…..
vipi je naweza kukufuataa ..
mtaani naitwaa na rapaaa…
niahidi kuwa naweza kukupaataa…
mtot toka tanzaaa ….
shape moja nambaaa…
mautundu ya kitangaaa. …
ukimuona utadataaa….
hey dada usilete…
madramaaa.. ushaninganyaaa…kwako sina ujanjaa
mapenzi unayajua mwenyewe..
nliyekuchagua ni weweee…
na sitaki uchezeweee….
nipende nikupende milelee…
i wish mamy
uwe nameeee
me ni mshkajii …
na mziki ndio kaziii
stay name usinione mzugajiii…
usiende mbali…wa ubaniii…
pre chorus…
twende home ..umuone mama utulueee…
na ajivuniee …
mtot wa kitanzaa…
nipe mahaba yako ..nijifiee
na ujivunueee…
chorus..
we ndo w+ngu wa ubani ..×4
verse 2
girl i wish nkupate…
popote utapokwenda nkufuateee…
niskuache..niloge ninasee…
love is blind bt nw i see something…
dont let me down….
njoo nkuvishe crown…
toka bush mpaka town…
me nawe tutashine…
usiyumbe na wadau..
me ukanisahauu…
nshapanda dau..
twende tukavimbe angalau…
pre chorus…
chorus……
tucheze cheche rhumbaaaa…
nikiwa na wew mchumbaaa
wengi wanakuzugaaa…
hawawezi kukutunzaa
wa ubani …wa ubaniiii
Random Lyrics
- pineal glands in springtime - pineal glands in springtime lyrics
- zikxo - bendo lyrics
- father koi - dreamgirl lyrics
- macc lads - dan's round us 'andbags lyrics
- mason hill - dna lyrics
- el jincho - tic tac (viejo vive) lyrics
- the lone bellow - dried up river lyrics
- iaa monki - sales de baño lyrics
- capo - zeit und geld lyrics
- 嵐 (arashi) - このままもっと (konomama motto) lyrics