azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

the artist - wds lyrics

Loading...

(chorus)
we don’t stop (hee) we don’t (haa)
we don’t stop , overgang we dont stop (mhh)
we don’t stop (hee) we don’t (haa)
we don’t stop , overgang we dont stop (mhh)
(verse 1)
doit for the game never for the b-tch
stay true men never stay like a b-tch
usipende kuforce kuflow kama mimi
sometime naflow na shetani kwenye akili
niflow lugha gani english ama swahili
nipige dili gani kesho niwe tajiri
nikiamka fresh hao washenzi wanijadili
nachana fresh hee bila kudrop cash
mistari depo jeshi, hawawezi wanacomplain
mzuka unafanya na bounce bila doo
mahaters wanasubili ngoma droo
we don’t stop (hee) we don’t (haa)
we don’t stop , overgang we dont stop (mhh)
(chorus)
we don’t stop (hee) we don’t (haa)
we don’t stop , overgang we dont stop (mhh)
we don’t stop (hee) we don’t (haa)
we don’t stop , overgang we dont stop (mhh)
(verse 2)
wanataka tushindane nshawapga bao
wanataka tufanane siwezi fananao
chuki kibao kila saa ilimradi niwe wao
wakiforce bifu me naforce kwa dada zao
wanatembeza majungu kila siku
wanashindwa tembeza nyanyama kwa
promo ya face book
usipende kudis ka auna cha kuongea
maisha ni tight brooh take care
verse ziko nyingi siyo kwamba n-z-otea
uchunge mdomo na kile ambacho unakiongea
maana mwisho wa siku unaweza ukapotea
stay true n-gg- mwenyezi atabariki(hee)
(chorus)
we don’t stop (hee) we don’t (haa)
we don’t stop , overgang we dont stop (mhh)
we don’t stop (hee) we don’t (haa)
we don’t stop , overgang we dont stop (mhh)

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...