the humbled tanzania - yanatisha lyrics
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k+mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k+mtii
unapokosa nguvu ya kwendelea
umwendee yesu
ana nguvu ajabu
nguvu zake mungu
zaweza tenganisha mwili na roho
ziliumba ulimwengu
zashangaza ajabu
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha, yanatisha, yanatisha
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha yanatisha yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ni mungu wa huruma
ni mwingi wa rehema
ni mungu wa furaha
ana nguvu ya kubariki
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k+mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k+mtii
Random Lyrics
- slenur - cold world lyrics
- alex cuba - son para tu boca lyrics
- ganilatrap - prada lyrics
- lissÿ (usa) - for better or for worse (demo) lyrics
- lauren oxford - days numbered lyrics
- amtvii (амтви) - пинта лина lyrics
- lvbel c5 - dacia lyrics
- sowild - i do not believe lyrics
- justsaya - be my lady lyrics
- adam lambert - holding out for a hero lyrics