azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

the majestic singers - rafiki mwema lyrics

Loading...

tumepata rafiki mwema
hakika ni rafiki mwema
tumepata rafiki mwema

hakika ni rafiki mwema

tumepata rafiki mwema
hakika ni rafiki mwema
tumepata rafiki mwema
hakika ni rafiki mwema

maneno yake ni matamu, upendo wake usiseme
huruma yake inatisha, fadhili zake haziishi
ahadi zake ni za kweli
si′ mwingine bali tunamzungumzia yesu

tukimwiita anaitika, tukimuuliza anajibu
tukikosa anatuonya, tukitubu anasamehe
huyu ndiye rafiki mwema
si’ mwingine bali tunamzungumzia yesu

yesu, yesu
yesu, yesu
yesu, yesu

ah, sisi, sisi na yesu (sisi na yesu)
sisi, sisi na yesu (sisi na yesu)
sisi, sisi na yesu (sisi na yesu)
sisi, sisi na yesu (sisi na yesu)

oh, sema yesu (yesu), ah yesu (yesu)
sema baba (yesu), ah yesu (yesu)
sema yesu (yesu), ah yesu (yesu)

wengine w+n+lingia mali zao (sisi twalingia yesu)
wengine wanasifu mizimu yao (sisi twamsifu bwana)
wengine w+n+lingia cheo chao (sisi twalingia yesu)
wengine wanaposifu makaburi (sisi twamsifu bwana)

haleluya, sisi tuko na yesu
je wewe uko na nani?
ha+ha+ha

oh, sisi, sisi na yesu (sisi na yesu)
oh, sisi, sisi na masiya (sisi na yesu)
sisi, sisi na yesu (sisi na yesu)
oh, sisi, sisi na baba (sisi na yesu)

oh, sema yesu (yesu), yesu (yesu)
oh, sema baba (yesu), oh yesu (yesu)
oh, mwite yesu (yesu), baba yesu (yesu)

wengine w+n+lingia mali zao (sisi twalingia yesu)
wengine wanasifu mizimu yao (sisi twamsifu bwana)
wengine w+n+lingia cheo chao (sisi twalingia yesu)
wengine wanaposifu makaburi (sisi twamsifu bwana)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...