the moipet quartet - pole musa lyrics
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa
taabu…
taabu…
taabu
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
kweli musa,
uliponioa
sura yangu,
haikuwa na alama
hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinona
kama ngoima
ya kirige
oye, oye, tafadhali musa
tafuta bibi atakayeweza
kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye
ukinywa munyeke wamnywia yeye
pole…
pole…
pole.
Random Lyrics
- calogero - live bruxelles, belgique / 2015 lyrics
- wendy lands - stompin' lyrics
- carlos weinberg, sofía coll & ana mancebo - grenade lyrics
- maria mena - the baby lyrics
- various artists - cups lyrics
- dimitris samolis - thank you johnny lyrics
- stargaze - infatuated lyrics
- jesse & joy feat. alejandro sanz - no soy una de esas lyrics
- altered sky - livewire lyrics
- repay - realize lyrics