tmk wanaume family - tutoke lyrics
chorus:
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
verse 1:
hii dunia kama tufe, haifanani na kanda mbili
kwani kila aina’ viumbe wawili wawili
duniani’ ndo kifaa changu chenye akili
yaani we ndo mpenzi w+ngu wa kunistiri
nnapokukosa silali, chakula sili, nakuwaza wewe
nakuomba’ mchumba w+ngu unielewe, nikuonapo naisi kwenye jangwa la mahaba
nakupenda kama nnavyo mpеnda mama au baba
sitaki majaba
mrembo w+ngu na ku mind, toka unacheza mdaku
hujui ushakunaku, wala uchangu
na mind uwe mama’ mwanangu ndani ya nyumba
usawa huu naogopa (?) usijе (?) kupa
naamini mchumba, hakuna mwingine’ hatakama sina mapene’ wacha waseme
chorus:
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…( toka na mapozi ya ki afrika )
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
verse 2:
tutoke mpenzi, tutoke lazizi
we vaa chochote kile’ unachokitaka
leo siku ya wikiendi, watu kama sisi’ haswa wapendanao tunakwenda ku+spend
popote pale hata pakiwa uf+kweni, tukakonge nyoyo zetu kwa juisi ya apple hata na passion (eeehn!)
wapo wanochukia’ wanaona hii nafasi, kama una ichezea
wanataka waje wao’ hawakuwezi mtoto, kwanza hawana mvuto
“usiwajali hayo wasemayo, maisha yao kutwa kusema ya wenzao”
hawana dira, wala hawana taswira
wewe w+ngu pekee, sema kitu utakacho
joto nikupepe’
we sema bila kificho’ nimempenda na yeye kanipenda
sio’ kwa ajili ya jina wala u+handsome, sura yenyewe…hapa hakuna, ni upendo tu, uaminifu tu
ndo linajenga pendo letu’ acheni tutoke
hii ndo raha jamani’ ya kuwa na mke
akati anatamba, njia nzima nakula rimba eeehn…si na kifaa
chorus:
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
verse 3:
umeshani elewa’ nakupenda honey, (honey!)
nnachotaka sasa’ kukuweka ndani (ndani!)
ili kachaa’ nipate penzi maridadi
wewe na mimi’ mapenzi yetu wasiingilie mtu
usifate ya watu mpenzi, watu wabaya daima
ndio walio sababisha kaekewa yesu; miba
watasiriba, wataniharibia
ingia kwenye gari mpenzi tukanywe bia
usiulize mshiko’ tumpitie mkubwa fella pamoja na tito
wapendanao hujivinjari mwisho wa wiki, basi twende klabu tukacheze muziki
tukajivinjari tuisahau dhiki, milele na milele
mungu atu bariki…
chorus:
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
mpenzi w+ngu nakupenda
nimeamua tuishi pamoja’ sasa
hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini’ si ntokuacha
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
tutoke…oh mpenzi w+ngu tutoke…
(wikiendi imeshafika…)
tutoke… oh usiku wa leo tutoke…(toka na mapozi ya ki afrika)
(instrumentals)
Random Lyrics
- reflect love back - who i am lyrics
- denni aliester - sunny days lyrics
- bardero666 - welcome to uwu lyrics
- brain & lord madness - intro lyrics
- that santos guy - rich kid thuggin lyrics
- giacomo puccini - pensier profondo lyrics
- ihasamic! x wovensound - exit cell signal range lyrics
- esa risty - aku tak sing lungo lyrics
- iayze - chop his legs lyrics
- alex lahey - there's no money (solo version) lyrics