tonee - kinyonge lyrics
yeh yeeh
kim_touchezsa
whoa whoaah
tonee mr. anotherday
tadam music….
mgagaa na upwa hali wali mkavu
kaa ukilitambua
uliyaficha makucha leo yamenichoma ndafu
makapi naugua
niliyajia kwa pupa yameniwasha upupu
magwanda nayavua
siwezisema ntajuta moyoni umejawa kutu
chozi litaniumbua
sio kama nina hasira
mi mgonjwa wa mapenzi hali yangu taabani
imezama ngawila
upatapo cha mkwezi kwako hafuweni
hayasomeki majira
dakika kwa masaa sioni hafuweni
mwenzangu umezira
kila napokusemesha unanigeuzia kisogo
kinyonge….
kinyonge… ohooh
kinyonge….
kinyonge…. aaah ah
kinyonge… mh hm
kinyonge….
aaah eeeh!
nikama vile umekata mzizi umeachashina linaota majani
mwenzangu kwako unaniona mpuuzi moyoni mwako sina thamani
na unajua unajua mwenzako
naugua naugua penzi lako laumua laumua anhaa….
na unajua unajua mwenzako
naugua naugua penzi lako laumua laumua oh oooh….
sio kama nina hasira
mi mgonjwa wa mapenzi hali yangu taabani
imezama ngawila
upatapo cha mkwezi kwako hafuweni
hayasomeki majira
dakika kwa masaa sioni hafuweni
mwenzangu umezira
kila napokusemesha unanigeuzia kisogo
kinyonge….
kinyonge… ohooh
kinyonge….
kinyonge…. aaah ah
kinyonge… mh hm
kinyonge….
mixbus_
Random Lyrics
- ykm - pochtar lyrics
- the sooper swag project - mad scientist lyrics
- slush puppy - i'm sick of dancing lyrics
- claravaggio - punterò più su lyrics
- ralph graham - got to find somebody lyrics
- a.k. port - lost lyrics
- gnu, o profeta - é fácil falar de droga lyrics
- mc rafaello - zróbcie świat lepszy (witam w dwa tysiące którymś) lyrics
- nubia - the network lyrics
- lil poppa - raised like this lyrics