tonny syumah - niko yaya lyrics
[verse 1]
we panga line
mi niko wireless, napanga grind
kama kite, juu niko hewa
napanda flight
money talks kama khaligraph
mimi na mboka ni handicap
niko na mresh huko hurlingham
niko na mbogi inatesa huko abidjan
niko kejani na-set
kameshika kama peg (shik!)
buda sikunyw-ngi keg
labda rada ya ma-best
wanani-test, wanani-test
wananipima ju mi huwa sipendi communicate
skinny n-gga in a skinny jeans
nakaa ka ule msee wa billie jean
trouble, murder, k!ller, been that
look at me, boy nitii, boy nitii
cheki looks zao, wametii
buda na-spin, booker t
mresh wako ana-spread-spread sheet
tumewaweza
wake-shakes kama makena
mf-ko imegenya
cheki jeans, bobby mapesa
cheza ndogo chini ndugu
tunawaroga na voodoo
kama msee wa manyunyu
tunatumbeza, nipate nakuru
[hook]
niko clean, niko fresh, niko yaya
nina mresh, ako fresh, ako yaya
mi na mbogi tuna-flex, tuko yaya
jua leo tuna-set like yah yah!
niko clean, niko fresh, niko yaya
nina mresh, ako fresh, ako yaya
mi na mbogi tuna-set, tuko yaya
jua leo tuna-flex like yah yah!
[verse 2]
panga panga
brief, maandishi ya kanga
sipendi mavita, sipendi kuganda
sipendi mazishiii, sipendi matanga
sipendi mashuksha, juu niko handas
i’m a freak, when i get on the sheet
when i switch off the light, i’m the sh-t
niko smart, airmax on my feet
nimemada system, sahii niko streets
si tuko fiti ju, mboka ni mbekse
we uko chini ju wewe ni hater
niko na topper ju rada ni chafu
nacheki visa like zote ni zangu
socks white, zinakaa kama gringo
i’m all about the numbers, please call me bingo
nakula squad na piko
naondokea na finyo
natoka teke nasonga unawezadhani huyu jamaa huw-nga dingo
my mother huniitanga cute
my father hudai mi ni fimbo
watoto huniitanga kaka
madem hupanda zangu nyimbo
[hook] x2
niko clean, niko fresh, niko yaya
nina mresh, ako fresh, ako yaya
mi na mbogi tuna-flex, tuko yaya
jua leo tuna-set like yah yah!
niko clean, niko fresh, niko yaya
nina mresh, ako fresh, ako yaya
mi na mbogi tuna-flex, tuko yaya
jua leo tuna-set like yah yah!
niko clean, niko fresh, niko yaya
nina mresh, ako fresh, ako yaya
mi na mbogi tuna-flex, tuko yaya
jua leo tuna-set like yah yah!
niko clean, niko fresh, niko yaya
nina mresh, ako fresh, ako yaya
mi na mbogi tuna-flex, tuko yaya
jua leo tuna-set like yah yah!
Random Lyrics
- lungley - moroii lyrics
- rayo - calle y actitud lyrics
- ras ceylon - feel good lyrics
- isaac delgado - la vida es un carnaval lyrics
- xand3r - dystopian world [ft. etc4e$t] lyrics
- flavor flav - let it show lyrics
- raja hasan - junoon lyrics
- mista - blackberry molasses (remix) lyrics
- manuel carrasco - otoño, octubre lyrics
- gza - breaker, breaker (remix) lyrics