azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tony cousin – pale pale lyrics

Loading...

[intro]
cousiiiin i thought i told you we won’t stop yoooh!!!

[verse 1] tony cousin
n-gga am sorry/
haukuona nilipost or you wanna make me bored/
mind your business usitutoe kwenye
usinitoe kwenye (moodx3)
haututoi kwenye (mood x3) riiight
wana kama wote tushapeana code
tunashesha mwendo wa todi
marofa marodi
hautuangaliana kaja na kivits kaja na ford
hatubaguani wanangu wana
vanguard from j-pan
kwanza jitambulisha we ni waki waki gani?
unarusha mastimu unajua tuna mastimu gani?
paka mdogo kama wewe hatuwindi
na gun we si mwanetu wanetu wanaijua ni code gani

chorus
tunakutana (palex3)
tunakutana palepale (palex3) x2

[verse 2] country boy
hold uuup am on my way
tunakula bata sio chaka sio oysterbay
na watoto wakali wa kimanza bei
taichii vina flow zimepanda beiii
and i yaaah you know ima git it git it git it!!!!
maisha siku izi hayana siri siri siri
niko mi na cousin njoeni wawili wawili
ongeza unavyotaka niko hapa nitachezea na bili
fake n-ggas, wanakunja
ukiniona kung fu swag pawww nawavunja
hatuongei lugha moja tuna codes
hatufanyi foul huu sio muda wa jokes you know
wakati wamesizi mi ndo kwanza
niko buisy buisy
wakati machizi wanataka niwaachie maangamizi
na na maangamizi nitahakikisha nawanyima usingizi
na haikuwa easy
xei xei where you at maniziii
haaaaaaah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...