trabolee - mbe x3 lyrics
[intro: trabolee]
una ki-lighter tukiwashe?
alafu cypher tukimade?
una ki-lighter tukiwashe?
alafu-
[hook: trabolee]
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
[verse 1: trabolee]
yo, are all the signs vital?
buda niko borderline psycho
nawadunga na porcupine type flow
wasipochunga tuta-occupy kwaito
tushakafunga buda, go u-buy sisal
angusha lugha na-blow hadi my b-lls
chafua mbuga walaloo hadi nilotes
unakuwa puga ukini-cross basi life stops
wacha nikutembeze kwa my journey
hakuna senge-nge kwa bustani
mi na ma sense-se-se tuko kazi
wanataka tu tuteketee kwenye fani
if you’re my homie better come with the grumgrums
i’m in my zone, cheddar come with the dumb dumb
we chill the bones, metaphors make ’em numb numb
k!ll em alls, let them sore till the sun comes
[hook: trabolee]
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-
[bridge: trabolee]
una ki-lighter tukiwashe?
alafu cypher tukimade?
una ki-lighter tukiwashe?
alafu cypher tukimade?
[verse 2: amo kamili]
niko na hangover ya jana na mpango wa leo
stress nilikuwa natoa jana sijaziona leo
so ma-story za jana usijaribu kuleta leo
but sijui mbona mulla jana ilikuwa mingi kuliko leo
ni-show jana kuliendaje nisirudie leo
but ka uliniitia form jana n’takushikia leo
hope hao dame niliingiza box jana nitawak-mbuka leo
ka walikuwa wasawa jana, watapewa kichapo leo
ju vile nilikata jana ni kama nahama leo
taxine ya jana sijatema mpaka leo
haukujibamba ka kunguni za jana uko nazo leo
mi nilikuwa single klabu jana hata pete naiona leo
na ka ulinikopa jana, usikuwe mteja leo
niko mbe mbe mbe, nyuma niliachia sidika
leo niki-get laid walai bed inavunjika
tuna-celebrate na hakuna kitu imefanyika
[hook: trabolee] x2
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-
[bridge: trabolee]
una ki-lighter tukiwashe?
alafu cypher tukimade?
una ki-lighter tukiwashe?
alafu cypher tukimade?
[verse 3: verbal vayne]
my heart pal marijuana
if you don’t get high, i’m [?] out your mama (sellasia)
myster got it with a tight girl
she go by the name of mary jane, nice girl
it’s that natural mystic
no fiction, it’s factual, the actual spliff stick
i chief a mean reefer till i’m paranoid
snap a couple of selfies with my android
weed maybe or thc
anytime, anywhere by the leeways, see
i got one word for you – legalize
we should make a referendum to decide
height of the hubble telescope
the philoso philosophical spliff h-lla dope, yeah
mbe mbe mbe be the rhythm
purple haze in the air banging through your system
[hook: trabolee] x2
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-barley
tuko mbe mbe mbe usijali
ni matembe-mbe na ma-
[outro: trabolee]
una ki-lighter tukiwashe?
alafu cypher tukimade?
una ki-lighter tukiwashe?
alafu cypher tukimade?
Random Lyrics
- сектор газа (sektor gaza) - ява (jawa) lyrics
- anilyst - not your average lyrics
- chris wandell - aquella vez lyrics
- danny riot - bipolary lyrics
- emptyself - nothing follows, nothing stays lyrics
- quimi portet - homes i dones del cap dret lyrics
- julion alvarez y su norteno banda - no vales un peso lyrics
- kylie morgan - easy to forget lyrics
- salim the dream - walk thru lyrics
- savlonic - grinder lyrics